Fahamu jinsi ya kubadili Imei ya simu bila ku-root simu yako

Aug 18, 2019
79
150
Kubadili IMEI ya simu ni huduma unayoweza kuifanya kwenye simu ambazo ni rooted na ambazo hazija fanyiwa rooting.

Leo nitawaonyesha jinsi ya kubadili IMEI kwenye simu ambazo hazija fanyiwa root, ila inaweza kuleta madhara pindi utakapo kosea hatua ninazo onyesha hapa,so be careful.

Jinsi ya kubadili IMEI ya simu bila ku-root simu yako:

1. Download and install app ya mobile uncle app kutoka playstore kwenye simu yako.

2. Ikishamaliza ku-install fungua mobile uncle app.

3. Kisha chagua Engineering mode (MTK).

4. Shuka chini kisha bonyoza CDS Information.

5. Chagua Radio information.

6. Ukisha chagua radio information utakuta option mbilihapo utachagua “Phone 2”.

7. Baada ya hapo utaona option kama hii AT, Apo utaingiza AT (IMEI namba mpya) mfano (AT 000000000000000) ziwe tarakimu 15.

8. Kisha bofya Send at command.

9. Restart simu yako.

Baada ya hapo utakuwa umefanikisha zoezi la kubadili IMEI ya simu yako unachotakiwa kufanya ni kuthibitisha kwa kupiga *#06#...
Try at your own risk.

Kwani ukifanya hivi kwenye simu ambazo zimefungiwa na TCRA kwa kuwa ni fake utakua umevunja sheria za TCRA mimi sitahusika. Nimetoa njia hii ni kwa kujifunza tu
 
Philipo D. Ruzige

Verified Member
Sep 25, 2015
7,298
2,000
Kubadili IMEI ya simu ni huduma unayoweza kuifanya kwenye simu ambazo ni rooted na ambazo hazija fanyiwa rooting. Leo nitawaonyesha jinsi ya kubadili IMEI kwenye simu ambazo hazija fanyiwa root, ila inaweza kuleta madhara pindi utakapo kosea hatua ninazo onyesha hapa,so be careful.
Jinsi ya kubadili IMEI ya simu bila ku-root simu yako:-
1. Download and install app ya mobile uncle app kutoka playstore kwenye simu yako
2. Ikishamaliza ku-install fungua mobile uncle app
3. Kisha chagua Engineering mode (MTK)
4. Shuka chini kisha bonyoza CDS Information
5. Chagua Radio information.
6. Ukisha chagua radio information utakuta option mbilihapo utachagua “Phone 2”
7. Baada ya hapo utaona option kama hii AT, Apo utaingiza AT (IMEI namba mpya) mfano (AT 000000000000000) ziwe tarakimu 15
8. Kisha bofya Send at command
9. Restart simu yako
Baada ya hapo utakuwa umefanikisha zoezi la kubadili IMEI ya simu yako unachotakiwa kufanya ni kuthibitisha kwa kupiga *#06#...
Try at your own risk
Kwani ukifanya hivi kwenye simu ambazo zimefungiwa na TCRA kwa kuwa ni fake utakua umevunja sheria za TCRA mimi sitahusika. Nimetoa njia hii ni kwa kujifunza tu
Mkuu, nakushauri tu. Hii elimu ni kosa (tangu hapo ulipotumia neno KUBADILI IMEI)

Kubadili IMEI NI KOSA KISHERIA na ndio maana baadhi ya tools hii IMEI repair inakua hidden au una pewa onyo kitumia.

Btw, hongera kwa elimu
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,450
2,000
Mkuu, nakushauri tu. Hii elimu ni kosa (tangu hapo ulipotumia neno KUBADILI IMEI)

Kubadili IMEI NI KOSA KISHERIA na ndio maana baadhi ya tools hii IMEI repair inakua hidden au una pewa onyo kitumia.

Btw, hongera kwa elimu
Hapo angetumia lugha ya kurepair IMEI siyo kubadili na hawa ndo wanasabisha mafundi simu wanasumbuliwa na TCRA.

Na tayari nawaona wameanza kumtrace mleta uzi.

Sent from my cupboard using mug
 
Am the One

JF-Expert Member
Nov 1, 2018
686
1,000
Huyu ni mgeni kwenye hii tasnia... ndugu izo mambo tumefanya zaidi ya miaka 7 iliyo pita... sasa hivi tunatumia technology kubwa zaidi..
 
Am the One

JF-Expert Member
Nov 1, 2018
686
1,000
Mkuu, nakushauri tu. Hii elimu ni kosa (tangu hapo ulipotumia neno KUBADILI IMEI)

Kubadili IMEI NI KOSA KISHERIA na ndio maana baadhi ya tools hii IMEI repair inakua hidden au una pewa onyo kitumia.

Btw, hongera kwa elimu
Kabisa wenye tools wanakuambia ni kosa kisheria... ukitaka kufanya hivyo unatakiwa kufuata taratibu za kisheria sio kienyeji tu..
 
Son.j

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
764
1,000
Huyu ni mgeni kwenye hii tasnia... ndugu izo mambo tumefanya zaidi ya miaka 7 iliyo pita... sasa hivi tunatumia technology kubwa zaidi..
Maui meta na nck bado sio teknolojia kubwa, najua ndo unazozitumia labda na miracle
 
Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,467
2,000
Mkuu, nakushauri tu. Hii elimu ni kosa (tangu hapo ulipotumia neno KUBADILI IMEI)

Kubadili IMEI NI KOSA KISHERIA na ndio maana baadhi ya tools hii IMEI repair inakua hidden au una pewa onyo kitumia.

Btw, hongera kwa elimu
Ni kosa la nchi gani labda ,,, who told you wote tuko huko tz?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom