NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 592
Kweli?..tunakusubiri.Masikini Bondia wetu, naona kachanganya watu akili...nasubiri kuona akitekeleza kuondoka, Barca fan here I come!!
Kweli?..tunakusubiri.Masikini Bondia wetu, naona kachanganya watu akili...nasubiri kuona akitekeleza kuondoka, Barca fan here I come!!
Hata akienda City atawin "uropa"cup(probably),ila kwenda liver nahisi kuna mtu unamchokoza humu,punde ataibuka,sijui ni nani.....?Mkuu niko serious maana amedai anataka more trophies, sasa ni kikombe gani ambacho hajashinda na Man Utd kama sio Europa pekee yake.
Ahahahaaahhhaa kweli kabisa anaweza kwenda Liverpool!!Hata akienda City atawin "uropa"cup(probably),ila kwenda liver nahisi kuna mtu unamchokoza humu,punde ataibuka,sijui ni nani.....?
FA Cup pia bado hajabebaMkuu niko serious maana amedai anataka more trophies, sasa ni kikombe gani ambacho hajashinda na Man Utd kama sio Europa pekee yake.
Tanzania Bila Ya CCM, Inawezekana.Aende salama
...si nilisema huyu anatikisa kibiriti 'mwanaharamu apite!?'...HA HA HA!
you are definately right!....English media kila kukicha walikuwa na wanatoa skendeli zake mpya, sijui kama ma spin doctors i.e kina Max Clifford hawajaweka spin machine zao hapa.
Rooney katikisa kiberiti sasa upepo umegeuza mwelekeo...
By the time watu wanashtuka, story za machangu zitakuwa zishapoteza mvuto.
Rooney haondoki Man U bana, Soon utasikia wame reconcile na Fergie. "...changa la macho mwanaharamu apite!"
at 24yrs Old?...hana pa kwenda kwa sasa.
Best of friends again, ll Rooney kasaini mkataba wa miaka mitano mpaka 2015. Kama nilivyoandika kwenye forum ya Man Utd sidhani Rooney ataka mpaka huo mwaka. Kilichotokea ni kuwa club inataka kuchuma hela zaidi since atakuwa kwenye contract and hopefully kwenye form nzuri vile vile. I hope I am wrong.
Wayne Rooney has apologised, says Manchester United manager Alex Ferguson
Wayne Rooney has apologised to Sir Alex Ferguson and his Manchester United team-mates after ending a turbulent few days by signing a new five-year contract.
Mkubwa Christiano Ronaldo bado hajashinda La Liga akiwa Real Madrid,Ronaldo alisajiliwa msimu uliopita na bingwa alikuwa BarcelonaNafikiri hizi sentensi zinazosema wachezaji walioondoka Manchester especially Beckham, van Nistelrooy na Ronaldo kwamba na career yao ndio iliisha mara moja ni uwongo au chuki kwa wachezaji hao, au pengine ulimbukeni wa kutofuatilia ligi nyingine za Ulaya walikokwenda wachezaji hao, au ule "ushamba" wa kusema ili uwe na career kama mchezaji basi lazima uwe unacheza English Premier League, au yote hayo kwa pamoja!! Ronaldo (1La Liga) na van Nistelrooy (2 La Liga) wote wameshinda La Liga na Madrid, Ronaldo amemaliza msimu mmoja na Madrid na alikuwa third top scorer japokuwa alikuwa majeruhi kwa kipindi fulani na mwaka huu anaongoza kwa ufungaji na Madridi iko top.Na ukweli mwingine ni kwamba Madrid is the World most successful club, kila mchezaji anataka kwenda pale ukiondoa wazawa wa Catalunya for some political reasons. Acheni hizo, Manchester/Fergie is not everything for a player's career, there's always a greener pasture somewhere else.