Rooney's new contract

aende bwanaa..alishaanza kuwa gunia la misumari... ww mtu gani toka achemke world cup hajarudi kwenye form na anaongezea skendo za malaya....afterall nahisi mwisho wake utakuwa mbaya kama wote walioondoka man-utd bila ridhaa ya babu...jap stam, davy beckham, ruud van neesterloy na wengineo....pia akitoka anawwachia vijana namba nao watishe mbaya....GOOOO ROOONEY....
 
Harry Rednap amesema angetamani sana kumpata ila anajua hawezi kumpata....navyomsoma dogo anataka kwenda man-city ila huko sioni kama atatisha chochote maana hakuna partneship nzuri na tevez...soo anaweza kwenda kulipwa ila asicheze.... na atataka kwenda huko kumuumiza babu ...si unajua ukihamia kwa adui wako inavyokuwa...chelseeeeaaa..mmmhhhhh... sidhani...pesa haipo....Real madrid...yap..atacheza na ronaldo....ila navyomjua mourinhoooo...huwa hamfagilii rooney hata kidogo...bora amchukue drogba na sio rooney
 
Tatizo la hawa jamaa wakishakuwa na hela nyingi na kupata FAME wanajiona they are much bigger than the club Rooney should have learn from the David Beckham saga i can speculate that this might be the end of his career sijui lakini but what i see he's like ditching himself
 
Nimekumbuka ishu ya Lebron James alipokuwa anahama kutoka cleveland cavaliers kwenda miami heat
 
Tatizo la hawa jamaa wakishakuwa na hela nyingi na kupata FAME wanajiona they are much bigger than the club Rooney should have learn from the David Beckham saga i can speculate that this might be the end of his career sijui lakini but what i see he's like ditching himself
Rooney atakuwa kashaudhiwa na Babu Ferguson. Yule babu sometimes hatabiriki nikikumbuka issue zake na Beckham... Naona mwisho wa carrer yake! Atapotea kama Beckham na Christian Ronaldo.
 
Rooney atakuwa kashaudhiwa na Babu Ferguson. Yule babu sometimes hatabiriki nikikumbuka issue zake na Beckham... Naona mwisho wa carrer yake! Atapotea kama Beckham na Christian Ronaldo.

Na kweli ukimzingua babu he's doesn't give bullshit who are you or how much are you getting paid tumeona kwa akina david beckham na ronaldo kama ulivyosema
 
Na kweli ukimzingua babu he's doesn't give bullshit who are you or how much are you getting paid tumeona kwa akina david beckham na ronaldo kama ulivyosema
sometimes yule babu ni mpuuzi, kwani inakuwaje infidelity ya rooney umuumize yeye zaidi. Inakuwaje rooney asamehewe na mkewe, wazazi wake na wakwe zake lakini yeye feggie aishupalie? wanaume wengi sana hutoka wake zao wakiwa wajawazito hasa 7-9 months. people get forgiven but haka kababu kanakera sana. kwanza kakishaona mchezaji anang'ara lazima kamwanzishie.
 
Nafikiri babu alichokuwa anafanya ni kumpa muda rooney wa kutulia kwanza out of the pitch akili yake iweze kufocus vizuri na hizo rabash rabsha alizopata ziweze kuisha, babu anawajua wachezaji wake kisaikolojia na alijua kuwa rooney bado hayuko fit thou dogo alikuwa mbishi
 
mkuu inawezekana, lakini kumbuka kwa yule babu ukiisha kuwa maarufu tu zaidi yake lazima akupige chini. Hii ya rooney ni upenyo tu anashukuru umetokea
 
Huyu dogo kiburi kimezidi..wacha aende...
Babu atatuletea mbadala soon..
 
I wish Wayne Rooney a brighter future ahead.........after those scandals the big writing was on the wall for him...............................Just like Tiger Woods.........Once shamed no recovery path is available.............poor boy ...............what a waste of such golden talent in a golden age of overpaid and over-pampered soccer stars....................................
 
actually tunamuadimaya babu haendekezi jina,anaendekeza heshima,aende tu,wamepita wengi na walikuwa mastaa kuliko yeye na chama bado halijayumba,kufa kwa imamu/mchungaji sio mwisho wa swala/ibada.
 
Natamani kikosi kilichokuwa na washambuliaji Rooney, Teves na Ronaldo. wakubwa wakati huo ukicheza na Man U basi subiria magoli. Sasa Rooney kabakia ukiwa nani wa kumchezesha? Kuna wachezaji wachache sana duniani ambao wanaweza kungara bila support za wenzao na mfano mzuri ni Drogba, Roonye hana kipaji hicho anahitaji mtu wa kumpa mipira ya uhakika na kutengeneza move nzuri pale mbele.

Roonye si jeuri ila Fagi ndo jeuri zaidi, alishawaadhibu Bekham na wengineo huyu mzee ni mbaguzi na ukikorofishana naye hesabu siku za kuishi hapo old traford.

Rooney anaweza kutimkia Madrid au Barca. Ila ningependa aje kwa wazee wa Darajani.
 
Fergie hapendi mchezaji akianza kuleta nyodo kwa kuwa ni jina kubwa....
 
Naona watu mshaanza kusensationalize Rooney's statement imesema "I met with David Gill last week and he did not give me any of the assurances I was seeking about the future squad,'' said Rooney. "I then told him that I would not be signing a new contract.''
The way I see it, Rooney kama anataka hela zaidi atakwenda Manchester City kama anataka kushinda vikombe vingi Chelsea/Real Madrid/Barcelona.

sometimes yule babu ni mpuuzi, kwani inakuwaje infidelity ya rooney umuumize yeye zaidi. Inakuwaje rooney asamehewe na mkewe, wazazi wake na wakwe zake lakini yeye feggie aishupalie? wanaume wengi sana hutoka wake zao wakiwa wajawazito hasa 7-9 months. people get forgiven but haka kababu kanakera sana. kwanza kakishaona mchezaji anang'ara lazima kamwanzishie.

Wacha kuandika kishabiki wewe, Rooney has brought this to himself, poor performance wakati wa World Cup, kagoma kusaini mkataba siku mbili kabla ligi haijaanza then skendo la kucheat kwa mkewe na hii sio mara ya kwanza Rooney anacheat then anakuja kumcontradict kocha ambaye hakumpanga ili kumlinda kwa sababu kichwa kilikuwa hakijatulia na hiyo ilikuwa ina affect performance.

Wanaume wengi kutoka nje ya ndoa haimaanishi icho kitendo kimehalalishwa ebo!! Rooney kama mchezaji ni role model na ni balozi wa timu nje na ndani ya uwanja kwa hiyo lazima ajihehimu, na matendo yake yaendane na matakwa ya timu (muajiri wake).

mkuu inawezekana, lakini kumbuka kwa yule babu ukiisha kuwa maarufu tu zaidi yake lazima akupige chini. Hii ya rooney ni upenyo tu anashukuru umetokea
Are you serious? Mbona akina Giggs, Scholes bado wako? Hivi kuna mchezaji yoyote kwenye ligi ya Uingereza mwenye mafanikio kama ya Giggs? Vitu vingine ni character ya mchezaji tu especially hawa modern days players ambao loyalty yao iko kwenye hela na sio timu. No Player is bigger than the club kwenye hili nakubaliana na Fergie I mean players come and go but the team will always be there.
 
Helloo, can somebody remind Rooney what United does, win trophies.
"I met with David Gill last week and he did not give me any of the assurances I was seeking about the future squad,'' said Rooney. "I then told him that I would not be signing a new contract.''

Rooney admitted he was surprised by the depth of Ferguson's comments at a wide ranging press conference on Tuesday but he insists he remains a big fan of the United boss.

"I was interested to hear what Sir Alex had to say yesterday and surprised by some of it,'' continued Rooney. "It is absolutely true, as he said, that my agent and I have had a number of meetings with the club about a new contract. During those meetings in August I asked for assurances about the continued ability of the club to attract the top players in the world.

"I have never had anything but complete respect for MUFC. How could I not have done given its fantastic history and especially the last six years in which I have been lucky to play a part?

"For me its all about winning trophies - as the club has always done under Sir Alex. Because of that I think the questions I was asking were justified.

"Despite recent difficulties, I know I will always owe Sir Alex Ferguson a huge debt. He is a great manager and mentor who has helped and supported me from the day he signed me from Everton when I was only 18. For Manchester United's sake I wish he could go on forever because he's a one off and a genius.''
 
  • Rooney anakosa respect kwa wachezaji wezanke. Yaani anaona wachezaji anaocheza nao hawana future. yeye angekuwa wapi asingepewa nafasi ya kushine?

  • Rooney anakosa respect kwa kocha wake na muajiri wake. wao ndo wana jukumu la kujua nini wafanye kuhusu usajiri na sio kwa shinikizo la mchezaji
Kwa nini atake kuingia kwenye responsiility ya Ukocha na Mwenye timu? Ni sababu responsibility yake ya uchezaji imeanza kumshinda anatafuta mchawi.

Huyu dogo asipoangalia ataporomoka vibaya na inabidi akae UK. akineda nchi nchi nyingine na nidhamu yake hafifu ndo tutamsahau kabisa .
 
Helloo, can somebody remind Rooney what United does, win trophies.
Nadhani katika hali ya sasa na historia ya United katika miaka ya karibuni,Rooney anaihitaji United zaidi kuliko United inavyomuhitaji yeye, SAF amejitahidi sana kumlea huyu kijana katika maisha ya kama baba na mtoto,kitu kilichosaidia kumkuza kisoka na kimaadili.
Rooney ni Gazza type na ni Alan Smith type na ni Dennis Wise type ambao wanahitaji close supervision ili wacheze mpira. Ukiwaangalia usoni kosa.

Wakati SAF anamnunua Rooney alimuweka katika nyumba jirani na yeye,ili waeze kum monitor vizuri na hii ilsaidia sana na kama ataondoka sasa hatakuwa na peace of mind na itamchukua muda kusettle,na huko atakakoenda itabidi awe na uhakika wa kucheza kwenye starting line up,vinginevyo bado atakuwa affected. Kwangu siioni nafasi yake Madrid,Barca au hata Chelsea na kwa uzoefu wangu mdogo kwa Soka ya England,wachezaji wa England hawajaweza kufanikiwa nje ya Ligi kuu.

Soln:- Akubali yaishe,acheze mpira Man U inamfaa zaidi kwa ni timu kubwa kama jina lake lilivyo.
 
Back
Top Bottom