Rooney's new contract

article-0-0BB27AA8000005DC-559_634x286.jpg
 
Waingereza wamekuwa hawana mafanikio mazuri wakienda spain, kidogo McManaman alijitahidi...Rooney akienda huko ana kazi kubwa sana na akifanya mchezo atakuwa anasugua benchi!
 
aende bwanaa..alishaanza kuwa gunia la misumari... ww mtu gani toka achemke world cup hajarudi kwenye form na anaongezea skendo za malaya....afterall nahisi mwisho wake utakuwa mbaya kama wote walioondoka man-utd bila ridhaa ya babu...jap stam, davy beckham, ruud van neesterloy na wengineo....pia akitoka anawwachia vijana namba nao watishe mbaya....GOOOO ROOONEY....

Tatizo la hawa jamaa wakishakuwa na hela nyingi na kupata FAME wanajiona they are much bigger than the club Rooney should have learn from the David Beckham saga i can speculate that this might be the end of his career sijui lakini but what i see he's like ditching himself

Rooney atakuwa kashaudhiwa na Babu Ferguson. Yule babu sometimes hatabiriki nikikumbuka issue zake na Beckham... Naona mwisho wa carrer yake! Atapotea kama Beckham na Christian Ronaldo.

Na kweli ukimzingua babu he's doesn't give bullshit who are you or how much are you getting paid tumeona kwa akina david beckham na ronaldo kama ulivyosema

Nafikiri hizi sentensi zinazosema wachezaji walioondoka Manchester especially Beckham, van Nistelrooy na Ronaldo kwamba na career yao ndio iliisha mara moja ni uwongo au chuki kwa wachezaji hao, au pengine ulimbukeni wa kutofuatilia ligi nyingine za Ulaya walikokwenda wachezaji hao, au ule "ushamba" wa kusema ili uwe na career kama mchezaji basi lazima uwe unacheza English Premier League, au yote hayo kwa pamoja!! Ronaldo (1La Liga) na van Nistelrooy (2 La Liga) wote wameshinda La Liga na Madrid, Ronaldo amemaliza msimu mmoja na Madrid na alikuwa third top scorer japokuwa alikuwa majeruhi kwa kipindi fulani na mwaka huu anaongoza kwa ufungaji na Madridi iko top.Na ukweli mwingine ni kwamba Madrid is the World most successful club, kila mchezaji anataka kwenda pale ukiondoa wazawa wa Catalunya for some political reasons. Acheni hizo, Manchester/Fergie is not everything for a player's career, there's always a greener pasture somewhere else.
 
Fergie yupo sawa acha awakomeshe,mtu kama Rooney kajiona kishamaliza na England kumsifia wakati hana lolote,ndio maana Fergie alishasema bado hajafikia kiwango cha C Ronaldo,na siku zote Fergie anawaambia England bado hata kombe la dunia hawapagi nafasi kuwa watabeba,waingereza madomokaya wanajisifia sana,hata Beckham sawa tabia yake sio mbaya kama Rooney nae alishajiona yeye moto kuringa ndio maana Fergie akamkomesha nae,mbona kina Giggs na Scholes mpaka leo wapo,england namkubali scholes hana nyodo,ila karibia wachezaji wake wengi nyodo,Ince kaondoka man utd kaenda inter milan mpira ukaisha kabisa nae nyodo zake,waingereza wanabweteka sana na ligi yao inawadaganya mpira hakuna,owen kaondoka liverpool baada kujiona staa,kaondoka,liverpool wanabeba uefa kaenda kuua soka lake real madrid,ndio maana kama ukijiona staa Fergie hautaenda nae sawa,safi sana hakuna kufagilia majina hayo mambo yapo labda kwa makocha wenu wasio na msimamo,bora huonekane mbaya ila chama haliyumba,aliondoka Beckham kaja Ronaldo imewachukua muda kidogo miaka kama 3 bila primia ligi cup lakini wakaja kubeba mara 3 mfululizo,chelsea na mihela yao haijaweza wala arsenal kutetea miaka 2 mfululizo,na wakabeba uefa champs ligi bila kupoteza mechi na mwaka uliofuata final,kwahiyo mwacheni aitwe Sir,anastahili,wisdom is better than silver and gold.
 
aende bwanaa..alishaanza kuwa gunia la misumari... ww mtu gani toka achemke world cup hajarudi kwenye form na anaongezea skendo za malaya....afterall nahisi mwisho wake utakuwa mbaya kama wote walioondoka man-utd bila ridhaa ya babu...jap stam, davy beckham, ruud van neesterloy na wengineo....pia akitoka anawwachia vijana namba nao watishe mbaya....GOOOO ROOONEY....

Tatizo la hawa jamaa wakishakuwa na hela nyingi na kupata FAME wanajiona they are much bigger than the club Rooney should have learn from the David Beckham saga i can speculate that this might be the end of his career sijui lakini but what i see he's like ditching himself

Rooney atakuwa kashaudhiwa na Babu Ferguson. Yule babu sometimes hatabiriki nikikumbuka issue zake na Beckham... Naona mwisho wa carrer yake! Atapotea kama Beckham na Christian Ronaldo.

Fergie yupo sawa acha awakomeshe,mtu kama Rooney kajiona kishamaliza na England kumsifia wakati hana lolote,ndio maana Fergie alishasema bado hajafikia kiwango cha C Ronaldo,na siku zote Fergie anawaambia England bado hata kombe la dunia hawapagi nafasi kuwa watabeba,waingereza madomokaya wanajisifia sana,hata Beckham sawa tabia yake sio mbaya kama Rooney nae alishajiona yeye moto kuringa ndio maana Fergie akamkomesha nae,mbona kina Giggs na Scholes mpaka leo wapo,england namkubali scholes hana nyodo,ila karibia wachezaji wake wengi nyodo,Ince kaondoka man utd kaenda inter milan mpira ukaisha kabisa nae nyodo zake,waingereza wanabweteka sana na ligi yao inawadaganya mpira hakuna,owen kaondoka liverpool baada kujiona staa,kaondoka,liverpool wanabeba uefa kaenda kuua soka lake real madrid,ndio maana kama ukijiona staa Fergie hautaenda nae sawa,safi sana hakuna kufagilia majina hayo mambo yapo labda kwa makocha wenu wasio na msimamo,bora huonekane mbaya ila chama haliyumba,aliondoka Beckham kaja Ronaldo imewachukua muda kidogo miaka kama 3 bila primia ligi cup lakini wakaja kubeba mara 3 mfululizo,chelsea na mihela yao haijaweza wala arsenal kutetea miaka 2 mfululizo,na wakabeba uefa champs ligi bila kupoteza mechi na mwaka uliofuata final,kwahiyo mwacheni aitwe Sir,anastahili,wisdom is better than silver and gold.
Inaonekana unapenda sana ligi ya kubishana, ndio maana umekurupuka kujibu post yangu bila kuzingatia nilichoongea. Mimi sijasema Fergie awabembeleze hao wachezaji, na wala sijatetea wachezaji kuwa juu ya kocha au club. Nilichoongea ni kwamba si kweli wachezaji waliiondoka Manchester baada ya kutoelewana na Fergie basi na career zao zikaisha kama ambavyo wengi wamesuggest hapo juu. Lazima mmkubali kuwa career ya mchezaji itaendelea hata kama anaondoka Manchester.
 
Madridi iko top.Na ukweli mwingine ni kwamba Madrid is the World most successful club, kila mchezaji anataka kwenda pale ukiondoa wazawa wa Catalunya for some political reasons. Acheni hizo, Manchester/Fergie is not everything for a player's career, there's always a greener pasture somewhere else.
Wazawa wa Catalunya in Barca's starting line up ni Pique,Puyol,Xavi na Busqet including kocha Josep Guardiola na wote wanafanya vizuri.
 
Najua vizuri sana mkuu wangu, nilichokuwa namaanisha ni kwamba sio rahisi kwa mzawa yoyote wa Catalunya (awe star au sio star) kwenda kucheza Madrid kwa sababu ya tofauti na mivutano ya kisiasa iliyopo....tension will always be there due to historical and political reasons.
 
Nina wasiwasi Cesc anaweza kutua Madrid!!! Japo sina hakika sana
 
Atoke Man Utd na kwenda Man Citeh? Natumaini Rooney sio mjinga kiasi icho, I mean atakuwa anahatarisha usalama wake na wa familia yake maana kuna washabiki wengine sio wastaarabu ata kidogo na wanaweza kujaribu kumdhuru. Since amesema anataka kushinda vikombe zaidi basi aende Liverpool maana uko anaweza kushinda Europa kikombe pekee ambacho hajashinda na club.
 
Anataka kukimbia English media kwa infidelity zake na machangu, hana jipya zaidi ya hilo
 
...HA HA HA!
you are definately right!....English media kila kukicha walikuwa na wanatoa skendeli zake mpya, sijui kama ma spin doctors i.e kina Max Clifford hawajaweka spin machine zao hapa.

Rooney katikisa kiberiti sasa upepo umegeuza mwelekeo...
By the time watu wanashtuka, story za machangu zitakuwa zishapoteza mvuto.
Rooney haondoki Man U bana, Soon utasikia wame reconcile na Fergie. "...changa la macho mwanaharamu apite!"

at 24yrs Old?...hana pa kwenda kwa sasa.
 
Atoke Man Utd na kwenda Man Citeh? Natumaini Rooney sio mjinga kiasi icho, I mean atakuwa anahatarisha usalama wake na wa familia yake maana kuna washabiki wengine sio wastaarabu ata kidogo na wanaweza kujaribu kumdhuru. Since amesema anataka kushinda vikombe zaidi basi aende Liverpool maana uko anaweza kushinda Europa kikombe pekee ambacho hajashinda na club.
That's strue, ni hatari sana kwake kama atakwenda Manchester City maana jiji lenyewe "dogo" na ni rahisi kujua yuko wapi na anafaya nini, tofauti na London, the guy's in trouble!
Duuh! hapo kwa Liverpool you must be joking:smiling:.
 
hivi kwa nini jamaa hakusubiri arudi kwenye form angalao kidogo? sidhan kwa kiwango sasa atapata timu kubwa na dau la maana.
 
Masikini Bondia wetu, naona kachanganya watu akili...nasubiri kuona akitekeleza kuondoka, Barca fan here I come!!
 
hivi kwa nini jamaa hakusubiri arudi kwenye form angalao kidogo? sidhan kwa kiwango sasa atapata timu kubwa na dau la maana.

Form ipi wakati yeye amekwisha kuwa tabs na wenye fweza tangu August. Alimwambia Fergi 14 August kwamba maji yamemwagika lakini basi kazee kabishi tu kalifikiri kana akili kama za Wenger.,?
 
...HA HA HA!
you are definately right!....English media kila kukicha walikuwa na wanatoa skendeli zake mpya, sijui kama ma spin doctors i.e kina Max Clifford hawajaweka spin machine zao hapa.

Rooney katikisa kiberiti sasa upepo umegeuza mwelekeo...
By the time watu wanashtuka, story za machangu zitakuwa zishapoteza mvuto.
Rooney haondoki Man U bana, Soon utasikia wame reconcile na Fergie. "...changa la macho mwanaharamu apite!"

at 24yrs Old?...hana pa kwenda kwa sasa.

Usisahau Contract yake inakwisha mwakani wakati atakuwa 25yrs sasa ni wakati wa Manu kuamua aondoke kwa chee kama Chamakh? Kazi ipo hawezi kukaa United tena na tetesi zinasema ameahidiwa mshahara wa millioni £1.2 kwa mwezi na Man City.
 
Back
Top Bottom