agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Me mwenyewe shibiki! kilichonitisha kushikwa kiuno tuuu..Kwa shabiki wa kandanda hili si lakushangaza sana.
Upenzi uliopitiliza na mihemuko hufanya shabiki kupagawa vilivyo japo si kwa shabiki wote.
Watu wasiofatilia kabumbu hili tukio Ndio wataliona la ajabu lakini si la ajabu kwa wapenda kandanda!
Hebu muangalie shabiki huyu alijyejitosa uwanjani kupiga selfie na Neymar Jr.
View attachment 542011
Kwa hiyo matukio kama haya yapo katika viwanja!!
Kumbe nilikuwa sijui..Kawaida sana kwa mashabiki wa Manchester
Kuna wanafunzi wa havard wamefanya fujo juzi kuwaona na kuomba saini ya wachezaji wa Madrid juzi huko USAUkute hata kibarua hana na shule ilimshinda
kuwa na kibend ndo kinachofanyaDada yako ina ana kibendi ina maana mimi hutaki nipige show za nje? Wewe jamaa vipi aisee
Niende wapi?Nenda ww bs
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]afu ww mtoto unapenda sana ngono.
Manake umekomaa sana na kushikwa kiuno mara umnyime mmeo papuchi wakati mme mwenyewe huna na hutakuwa nae leo wala kesho.
Yani wewe leo sijui umeamkaje. Au zimejaa?
Wewe kuwa na ham?Kwani vip?kuna tatizo?
Wewe jamaa pambe kweli.kuwa na kibend ndo kinachofanya
Upge show za,wazwaz kabsa
Kuonesha umeshamchoka eeh
Cc inna ulitoka,wap na huyu
Fatak
[Color= yellow]Triple A[/color]
ndo chakula wakubwa wanapenda kula.Pspuch ndo nini?
We mama wewe, acha matani ya ukweli basi
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kuna wanafunzi wa havard wamefanya fujo juzi kuwaona na kuomba saini ya wachezaji wa Madrid juzi huko USA
Nguvu ya Mpira marais wenu wastaafu na viongozi walienda taifa
Calm down kijana
Ni kweli mkuu huyo jamaa ni mkubwa mno kitendo cha kukumbatiwa vile haileti picha poa ila ingekuwa kwa mtoto mdogo picha ingenoga sana..!!Dume zima kushikwa kiuno na dume mwenzio......
wanawake kwa hz comment siez kuwashangaaUshabiki Wa kijinga kama ni Mme wangu nampa likizo ya miezi mitatu .
sport mbona daimond kuna watu kibao wanampapatikia wengne walikua wanaenda kupiga nae pic sijui alivobeba tuzoKwahiyo kama wazungu wanafanya na sisi tufanye????
dinho mbrazil mashabiki wa korea wanaingia uwanjan kumkumbatia hio ndo sportLkn tofauti ni wao kwa wao, huyo Rooney siyo wetu hivyo ni ajabu kwa mtu ambaye hata hajui kuandika Everton achilia mbali hata kujua ilipo kwenye ramani kumpapatikia Muzungu namna hiyo!
Aibu iliyoje! tena vijana wa Dar! Katudhalilisha mno huyu, ngoja nimuite @DR Kigwangala amshughulikie huyu fala! Sio kawaida aise! Angekuwa Wema au Mange sawa, ila mwanaume mwenzetu tena wa Dar?! Blasphemy kwa wanaume...😕🙁😡Mwanaume wa Kitanzania akijisalimisha kwa Muzungu!
Ozil, bale,benzema,wanawake kwa hz comment siez kuwashangaa
hvi vitu kwenye mpira viko kila mahar dunian
hapa mm namsubiria hazard na c ronaldo
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app