Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
Mshambulia nguli aliyepata mafanikio makubwa ktk medani ya Soka barani Europa Ronaldo Luiz Nazario Fenomeno de Lima ama Elgodo yaani bwanyenye ametundika Daruga baada ya timu Anayochezea ya Corithians kulambwa goli 2-0 na wauza poda toka Colombia.
Mashabiki wa Corithians wenye hasira walionekana nje ya makao makuu ya klabu hiyo wakiwa na mabango makubwa yenye ujumbe wenye hasira unaomshinikiza Ronaldo aondoke klabuni hapo yakisema ''OUT RONALDO'' na lengine kusema ''SHAMELESS FATTY''...
alipokuwa ulaya alikuwa hajakamilika kiuchezaji mpk alipohamia klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni yaani AC Milan
Na kwenda kukutana na nyota kama Seedorf, Nesta, Maldini, Kaka, Pippo, Rui Costa na wengine weeengi.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa AC Milan anaaminika kuwa ndie mshambuliaji boora kwa Mwongo ulopita kwani ameshafunga magoli na kupata mafanikio makubwa ktk medani ya Soka.
Wao wamekudis, sisi tutakumiss...
Pumzika na ule Bata Kaka.
uliyoyafanya ktk Soka hata vipofu waliyasikia na kuyakubali...