Romney kushinda kesho...

Status
Not open for further replies.
hahahahaa. Mkuu naona ulikuwa unapaa na pipa na Romney angani.

Sie tulikuwa on the ground.

Before Obama, ni Rais gani wa Marekani ambaye alishakuwa re-elected wakati hali ya uchumi ukiwa mbaya hivi?

Yaani mshkaji ameweka historia ya kupindua almost kila prediction na milinganisho ya pundits
 
Mzee sasa vipi; utabiri wako umekwendaje?

Nadhani imeenda as I thought.. Romney angeweza kushinda... endapo angeweza kushinda majimbo hayo niliyoyataja kwenye guess yangu. He didn't. Ushindi wake kwa maoni yangu ulitegemea ushindi katika majimbo hayo.
 
Which battle grounds? Kama Obama anashinda mpaka Nevada, ambapo unemployment ni 11% (above the national average) what do you expect? Romeny na slogans zake za to create more jobs ameshindwa hata kushinda Nevada?
 
Dahhh......Carl naona anarudisha matumaini..........
 
Thank you for guessing!
 
Lakini huyu Carl naye anatutafutia aibu tu....aaaarrrghhh....ngoja nikapumzike....maana hata usingizi siwezi kupata.......damn!!
 
Watu mmesahau sana 2000 Florida baada ya vyombo vya habari kutangaza kuwa Al Gore ameshinda FL na baadaye usiku wakageuza. Hii ya kuiita Ohio mapema na hata Michigan inaweza kuwageuka mtashangaa.. so far.. I'm resigned kuwa Obama kashinda however... uchaguzi wa Marekani bana..

Wataanza "We screwed up.. hold on a minute".. Obama akiwa makini hatozungumza mapema... at least hadi kwenye saa saba hivi... kwa sababu kwenye hizo 275 wamempa na Michigan yenye kura 18..

With 61% reporting in Michigan Romney bado anashikilia 50%
 
Nadhani imeenda as I thought.. Romney angeweza kushinda... endapo angeweza kushinda majimbo hayo niliyoyataja kwenye guess yangu. He didn't. Ushindi wake kwa maoni yangu ulitegemea ushindi katika majimbo hayo.

MZEE WACHA KUWA KAMA MONDAY MORNING QUOTA BACK. ULE MANENO YAKO NA UTABIRI WAKO. MIMI NAKUJA DC JANUARY 2OTH FOR INAUGURATION
POLE SANA

Obama currently ana 281 electoral votes, so that you know...
 
Una utani ww.....anyway kwa lugha nyingine hypothesis fail to project Mitt as a WINNER so what
 
Nadhani imeenda as I thought.. Romney angeweza kushinda... endapo angeweza kushinda majimbo hayo niliyoyataja kwenye guess yangu. He didn't. Ushindi wake kwa maoni yangu ulitegemea ushindi katika majimbo hayo.

You are very smart! Uliyosema ni kweli kwani hukutamka kuwa atashinda bali ulisema anaweza kushinda, and I agree with you!
 
He is only interested in Ohio, not Michigan. Even if Romney does not concede Ohio, Obama will win election with Colorado victory
 
Lakini huyu Carl naye anatutafutia aibu tu....aaaarrrghhh....ngoja nikapumzike....maana hata usingizi siwezi kupata.......damn!!

Hahahahah Ogah bana umenichekesha sana Watu wanatetea career zao
 
MZEE WACHA KUWA KAMA MONDAY MORNING QUOTA BACK. ULE MANENO YAKO NA UTABIRI WAKO. MIMI NAKUJA DC JANUARY 2OTH FOR INAUGURATION
POLE SANA

hivi fikiria wakisema baadaye usiku kuwa "earlier projections" hazikuwa sawasawa wanaiondoa OH kwa Obama au Michigan kwa Obama... it won't be good...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…