Inaonesha kama file na kiulizoLabda network yako ukiclick hapo itadownload then utaiona kwenye gallery yako
Sasa si ndio kudata kwenyewe..Sijadata bhana Sema nimewapenda tu vile wameamua kutunyoosha

Yako lini??
Mbele ya mama mkweli ana moyo huyuMc Garab si wa mchezo mchezo.
Come closer
Yangu tayari kaboomYako lini??
hatujawaalika tu humuYani ilikuwa hivi karibuni?Yangu tayari kaboomhatujawaalika tu humu
Teh teh..Umeona sasa..Kuamsha popo mbele ya wakwe sio mpango..Mana mama mkwe ataanza kuvuta picha shurba inayoenda kumkabili mtoto wakeHa haaaaa unadhani jamaa hakuamsha popo![]()
lazima Sema ndo hatujaona tu
Ahahhah Kaboom weweYani ilikuwa hivi karibuni?