Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Missed u too cuzooCuzoo missed you.
Umewaona hao

Nimewanyooshea mikono kwa kweli. Hawa wanapendana kiukweli sasa
Kabisa maana si kwa kisses hizo.hahahaa kwahyo kigedho cha hizo kisses ndo umehalalisha kbsss!haaah wamependezea! kupendana kuzuri aisee! na muwe romantick shabashhhhhhhhh
Yani hii ningeiona kabla ya Ile siku lazima ningejitahidi niwafunike![]()
![]()
bwana harusi kiboko









Kabisa maana si kwa kisses hizo.
Yani walikuwa na hisia kabisa. Sijui wakiangalia hii video wanajisikiaje![]()
Hebu wanaume wajifunze kwa huyu
K haaaa umejua kunichekesha hapo kwenye kuvurugana.ahhaa tujifunze wote tu mie naona! ukiwa romantic wewe automatic na men wako atakuwa hvyo! i believe so! wanwake weng tuna aaibuuu lol! kuvua nguo kwenyewe huwa shida... imagn! had ubembelezweeeee weeee mvurugane weeee khaa
Hahahaaa. Umenichekesha eti. Kwa iyo hapo ungekua ushanyegeka.?
Hahaaaa.. Mi sishangai ni vile tu binadamu tulivyo.hahaa mie siwez kukiss nikiwa nimesimama! utaniokotea chini live!sijui ushamba
Hahaaa.. Lazima adate.hahha sijanyegeka bwana ! sema Linamo namuona kachanganyikiwa kbs hatari hatari
Kweli kabisa mbitiahhaa tujifunze wote tu mie naona! ukiwa romantic wewe automatic na men wako atakuwa hvyo! i believe so! wanwake weng tuna aaibuuu lol! kuvua nguo kwenyewe huwa shida... imagn! had ubembelezweeeee weeee mvurugane weeee khaa
hahaa mie siwez kukiss nikiwa nimesimama! utaniokotea chini live!sijui ushamba




Itume upya haifungukiHii couple imetrend sana siku mbili hizi. Ila wamejua kutunyoosha.