Romantic dance ever

Romantic dance ever

mie bado! nadhani siku yangu hii ikifika sitopoteza pont tatu muhimu..hadi mkuyenge wake unyanyuke hahaa
Ha haaaaaa a kama nakuona utakavyo tukomesha
 
mie bado! nadhani siku yangu hii ikifika sitopoteza pont tatu muhimu..hadi mkuyenge wake unyanyuke hahaa
4e12fe2823045d7969ca15543e205a46.jpg


[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Kabisaaa ni Romantic haswa yani wote wajifunze kwa huyu. Hii ni tafsiri kuwa hawa wamependana kweli. Yani hawaigizi sababu ni harusi wanahisia kweli. Hii ndo tafsiri ya wet kiss[emoji5] [emoji5]

Tatuu vs mimba.
 
mimi niko romantic kinoma hadi najikubali .....sema sisomeki niwe na demu gani...mara nimegonganisha mara wanune mara warudi....dah sijui ntayemuoa itakuwaje katika dansi la blues...sema ntakausha tu blues ntacheza nae chumban after sherehe ya harusi
 
Back
Top Bottom