Lord lofaKabisaaa ni Romantic haswa yani wote wajifunze kwa huyu. Hii ni tafsiri kuwa hawa wamependana kweli. Yani hawaigizi sababu ni harusi wanahisia kweli. Hii ndo tafsiri ya wet kiss![]()
![]()
Hii couple imetrend sana siku mbili hizi. Ila wamejua kutunyoosha.
Hapo kwenye mkuyati ndo uliponifanya nicheke kwa sauti sanaSijui ni kwanini huwa sipendi Mwanamke anayevalia Bra rangi Nyeusi tena inayokuwa transparent kama hivyo kwa huyo bride hapo ( in short sipendi Vitu Vyeusi nivione kwa Mwanamke iwe ni Bra au Chupi ) Kulana Denda mbele ya hadhara kama hivyo wala siyo kitu kigeni kwani kuna harusi niliishuhudia sema tu ilikuwa ni miaka hiyo ambapo Wanaharusi waliombwa kucheza mziki wa taratibu na nilichokiona hapo ni Mkuyenge / Uume wa Jamaa Kudinda au kuchana zipu yake na kujitokeza utafikiri Nyoka anachungulia Shimoni ila kuna Watu wenye Hekima waliona na kuwahi kumwambia aurudishe kunako pango lake na kumwambia muda wa Kuudindisha bado haujafika hadi Harusi itakapomalizika.
Uchungu mwingine unakuja pale ambapo ama Wewe Bwana au Bibi Harusi hapo unajifanya uko katika Mahaba mazito lakini kumbe huku katika Wageni waalikwa wapo Wezi wako wa Kutukuka kwa huyo Mpenzi wako ambao unaweza kukuta pengine wao hupewa / hufanyiwa zaidi ya hayo unayofanyiwa hapo na huyo Mpenzio.

pascal weds jacklinebaada ya ile denda,hicho ndicho kilichoendelea

katika ubora wakoSijui ni kwanini huwa sipendi Mwanamke anayevalia Bra rangi Nyeusi tena inayokuwa transparent kama hivyo kwa huyo bride hapo ( in short sipendi Vitu Vyeusi nivione kwa Mwanamke iwe ni Bra au Chupi ) Kulana Denda mbele ya hadhara kama hivyo wala siyo kitu kigeni kwani kuna harusi niliishuhudia sema tu ilikuwa ni miaka hiyo ambapo Wanaharusi waliombwa kucheza mziki wa taratibu na nilichokiona hapo ni Mkuyenge / Uume wa Jamaa Kudinda au kuchana zipu yake na kujitokeza utafikiri Nyoka anachungulia Shimoni ila kuna Watu wenye Hekima waliona na kuwahi kumwambia aurudishe kunako pango lake na kumwambia muda wa Kuudindisha bado haujafika hadi Harusi itakapomalizika.
Uchungu mwingine unakuja pale ambapo ama Wewe Bwana au Bibi Harusi hapo unajifanya uko katika Mahaba mazito lakini kumbe huku katika Wageni waalikwa wapo Wezi wako wa Kutukuka kwa huyo Mpenzi wako ambao unaweza kukuta pengine wao hupewa / hufanyiwa zaidi ya hayo unayofanyiwa hapo na huyo Mpenzio.

Hii couple imetrend sana siku mbili hizi. Ila wamejua kutunyoosha.
mshkaji ana tattoo ya playboyIla huyu jamaa sio wa mchezomchezo, naona ana (tattoo) kapicha ka kichwa cha sungura kwenye shingo, sasa jaribu kutafakari tabia za sungura.....
ayaaa wee...mmenifanya nirudi kuzoom picha..loh!mshkaji ana tattoo ya playboy
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Ila huyu jamaa sio wa mchezomchezo, naona ana (tattoo) kapicha ka kichwa cha sungura kwenye shingo, sasa jaribu kutafakari tabia za sungura.....
duh kumbe umeolewa tayari...,,,Nimewafollow huko insta wako private afu si mastar walaa ila wamevunja rekodi. Mc atafanya tutamani kuolewa upya![]()
![]()
![]()
![]()
sanaa...semu nemu..Amekukamata swahiba