VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
wa nne Russia sio duniani nadhani duniani atakuwa ni top 50...ni wa nne????duniani?
unamsemea Aliko Dangote? ana net worth ya Bil $13.8 Trump ana 2.7Bill $hivi unajua kuna mnigeria richer than huyu ?
ni tajiri kuliko donald trump pia
Huenda ikawa kweli lakini facts zake huyo Mnigeria hatuna (well haziko open) na huenda tunajua theluthi tu ya utajiri wa huyu bwana na mwingine ameuficha (issue ni kwamba huyu jamaa alizaliwa akiwa masikini na utajiri wake umekuja ukubwani na kwa kasi sanahivi unajua kuna mnigeria richer than huyu ?
ni tajiri kuliko donald trump pia
Kwa hiyo unamsifia mtu aliejipatia mali kwa njia ya udanganyifu? ni mwizi tu na siku nyingine usisifie wezi
Usiwe mvivu soma hapa Aliko Dangote - ForbesHuenda ikawa kweli lakini facts zake huyo Mnigeria hatuna (well haziko open) na huenda tunajua theluthi tu ya utajiri wa huyu bwana na mwingine ameuficha (issue ni kwamba huyu jamaa alizaliwa akiwa masikini na utajiri wake umekuja ukubwani na kwa kasi sana
Nadhani jamaa ni zaidi ya hilo..., sababu kwenye vile vita vya nani amiliki Aluminium Industry ni wengi walipoteza maisha na inasemekana baada ya yeye kushinda vifo viliisha. Pia baada ya Putin kuchukua nchi alianza kuwakandamiza wale waliopata utajiri kwa ufisadi, lakini ajabu ni kwamba Roman hajaguswa inayopelekea watu kudhani kwamba ana connection na Putin..,...Kiswahili rahisi, Abromovich alipata Pesa kwa njia haramu na ni pesa chafu(Money Laundering) then baadae amezitakatisha kwa staili hio aliotoka nayo na kuwa Tajiri
Yeah jamaa nae yupo vizuri na anastahili heko..., lakini point ya hapa when it comes to shady business ingawa na huyu alitumia political connections lakini Abramavich there is a lot of mysteries na a lot of unknowns, na connection zake is more than we know..., na kuna nini kati ya urafiki wake na Russians Rulers (including former President Putin...) na je hizo mali zote ni zake au kuna mkono wa some people in power?Usiwe mvivu soma hapa Aliko Dangote - Forbes
Akiwa mtoto yatima (mama alifariki akiwa na mwaka mmoja na nusu na baba yake alifariki kwa ajali akiwa na miaka minne) Kwa sasa ni mtu wa nne kwa utajiri Russia na mmiliki wa Chelsea FC.
Alifanyaje Kupata Utajiri Wake
My Take
- Alivyokuwa Jeshini alifanya biashara ya kuwauzia mafuta ya wizi wanajeshi wengine jambo lililompatia pesa nyingi
- Kuonyesha kwamba anachukua kila opportunity alitumia pesa alizopewa kama zawadi na wazazi wa mke wake (2000USD) kufanya illegal business (black market) huko Moscow
- Kwa faida ya biashara zake alianzisha kampuni ya kutengeneza toys na spea za magari na biashara nyingine nyingi kuanzia biashara za mafuta, nguruwe na bodyguard recruitment
- 1992 alishikwa kwa kuibia serikali, aligushi documents na kupeleka mzigo wa mafuta uliokuwa kwenye treni kwenda sehemu ambako ilikuwa haipaswi kwenda, lakini kesi hii ilikufa kifo cha kawaida
- 1995 kwa kutumia connection za rafiki yake Boris Berezovski, ambae alikuwa close na President Yeltsin walitumia controversial program ya loans for shares (inasemekana Yeltsin alikubaliana na orgarchs (Abramavich akiwa mmoja wao) ili kumsaidia Yeltsin achaguliwe tena. Hii iliwafanya wapate control kubwa ya kampuni kubwa ya mafuta (Sibnet) kwa bei nafuu sana . Na hii program ndio iliozaa matajiri wengi wa sasa huko Russia
- Baada ya Aluminium Industry kubinafsishwa kulitokea competition kubwa sana ya kumiliki hii industry.., watu wengi waliuwawa (waandishi wa habari, wafanyakazi viwandani n.k.) mwisho wa siku mshindi alikuwa ni Roman Abramavich
- 2003 alinunua Chelsea FC
- 2000/2008 alikuwa governor wa Chukotka sehemu masikini sana lakini kwa kazi yake nzuri aliweza kupandisha wastani wa mishahara kutoka 165USD (2000) mpaka 826USD (2006)
The Man did it all by himself na kwa kipindi kifupi sana kwa kutumia advantage, zilizokuwepo, (corruption na Umafia uliopo Russia). In short jamaa sio wa kuchezea
<br />Wabongo bwana Dr.Mponjoli alipofanya ya kwake anaonekana ni mpumbavu,mwizi na hana akili lakini kwakua kafanya Abramovich huyu ndo anaonekana eti ni self made billionaire ha ha haaa this is totally pathetic...na yeye kwanini msimuite angalau fisadi tu!!??
Mkuu hapa hakuna mtu anamu-admire mtu, simply tunaweka facts za yalitokea na mysteries behind the man, Dr. Mponjoli alikuwa ni failure ya kutaka kufanya wizi bila mpangilio na soon or later angeshikwa tu..., the facts remains kwamba jamaa ni self made na hakupewa handouts..., na ndio tunaweza tukamuita fisadi au mwizi au jambazi hakuna mtu aliepinga hapa...Wabongo bwana Dr.Mponjoli alipofanya ya kwake anaonekana ni mpumbavu,mwizi na hana akili lakini kwakua kafanya Abramovich huyu ndo anaonekana eti ni self made billionaire ha ha haaa this is totally pathetic...na yeye kwanini msimuite angalau fisadi tu!!??
Mkuu what is self made na hapa am not admiring anyone this is not why I have put up this thread, if it was about the richest man in the world ningemtaja mwingine, if it was about a hard working person in the world ningemuweka mwingine, na some critics watakwambia Bill Gates amefika hapa alipo kwa kuwa shrewd na sio kwa kuwa fair an through charity au creativity and being a geniusHuyu mwizi tu, mwizi hawezi kuitwa self-made hata siku moja, ametengeneza pesa zake kwa kumwaga damu za watu. Kama unataka uadmire matajiri kuna wengi ambao ni mfano mzuri zaidi ya "self made" Gates, Jobs, Ellis, Buffet etc hata akina Azam wetu.
Ndio Hus jamaa ni zaidi ya fisadi na ni connection zake ambazo zimemfanya hasishikwe.....<br />
<br />
labda ufisadi ni kwetu tu kwa wenzetu hakuna hicho cheo.
Kama anatumia njia haramu hadi na vitisho kwanini hachukuliwi hatua!
Mkuu hapa hakuna mtu anamu-admire mtu, simply tunaweka facts za yalitokea na mysteries behind the man, Dr. Mponjoli alikuwa ni failure ya kutaka kufanya wizi bila mpangilio na soon or later angeshikwa tu..., the facts remains kwamba jamaa ni self made na hakupewa handouts..., na ndio tunaweza tukamuita fisadi au mwizi au jambazi hakuna mtu aliepinga hapa...
Ndio Hus jamaa ni zaidi ya fisadi na ni connection zake ambazo zimemfanya hasishikwe.....
Mafia wa Kirusi pamoja na kaka yake Putin na babu yao YeltsinAkiwa mtoto yatima (mama alifariki akiwa na mwaka mmoja na nusu na baba yake alifariki kwa ajali akiwa na miaka minne) Kwa sasa ni mtu wa nne kwa utajiri Russia na mmiliki wa Chelsea FC.
Alifanyaje Kupata Utajiri Wake
My Take
- Alivyokuwa Jeshini alifanya biashara ya kuwauzia mafuta ya wizi wanajeshi wengine jambo lililompatia pesa nyingi
- Kuonyesha kwamba anachukua kila opportunity alitumia pesa alizopewa kama zawadi na wazazi wa mke wake (2000USD) kufanya illegal business (black market) huko Moscow
- Kwa faida ya biashara zake alianzisha kampuni ya kutengeneza toys na spea za magari na biashara nyingine nyingi kuanzia biashara za mafuta, nguruwe na bodyguard recruitment
- 1992 alishikwa kwa kuibia serikali, aligushi documents na kupeleka mzigo wa mafuta uliokuwa kwenye treni kwenda sehemu ambako ilikuwa haipaswi kwenda, lakini kesi hii ilikufa kifo cha kawaida
- 1995 kwa kutumia connection za rafiki yake Boris Berezovski, ambae alikuwa close na President Yeltsin walitumia controversial program ya loans for shares (inasemekana Yeltsin alikubaliana na orgarchs (Abramavich akiwa mmoja wao) ili kumsaidia Yeltsin achaguliwe tena. Hii iliwafanya wapate control kubwa ya kampuni kubwa ya mafuta (Sibnet) kwa bei nafuu sana . Na hii program ndio iliozaa matajiri wengi wa sasa huko Russia
- Baada ya Aluminium Industry kubinafsishwa kulitokea competition kubwa sana ya kumiliki hii industry.., watu wengi waliuwawa (waandishi wa habari, wafanyakazi viwandani n.k.) mwisho wa siku mshindi alikuwa ni Roman Abramavich
- 2003 alinunua Chelsea FC
- 2000/2008 alikuwa governor wa Chukotka sehemu masikini sana lakini kwa kazi yake nzuri aliweza kupandisha wastani wa mishahara kutoka 165USD (2000) mpaka 826USD (2006)
The Man did it all by himself na kwa kipindi kifupi sana kwa kutumia advantage, zilizokuwepo, (corruption na Umafia uliopo Russia). In short jamaa sio wa kuchezea
okay HAPA NIMEKUELEWA mkuu, na pia hapa bongo ma-self made tunao kibao kina SHIMBO, CHENGE, LOWASSA,KARAMAGI wote hawa ni from the scratches to riches nadhani tuwape big up sana mkuu... ~Ndio Hus au sio..