Hii hapa ni orodha ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
411
546
Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi.

Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024).

Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi.

1. Kikwete
Huyu Mzee anajua sana siasa za dunia, za Afrika na siasa za watanzania. Alienda na watu wote taratibu huku akitekeleza mambo yake na kuwaruhusu wengine wafanye yao. 😂😂😂 Hizo ni siasa za dunia. Ukianza kuingilia maslahi ya watu tu, watakuponda kichwa. Kikwete ni msikuvu na mwerevu.

2. Dr. Mwinyi
Ni mtendaji na siyo mtu wa porojo. Kama ni dini au malezi ya wazazi, basi Dr. mwinyi kalelewa vizuri. Zanzibar ipo kwenye track nzuri ya maendeleo. Kila sekta inaboreshwa Zanzibar hadi natamani kuhamia upande wa pili. Uenda nikahamia kabisa siku za usomi.

3. Dr. Magufuli
Alinifundisha kuwa Watanzania tunaweza kupiga tambo kwenye maendeleo. Mimi huwa namuita mzee wa viwango, mzee wa ufuatiliaji, mtu makini sana na mchapakazi hodari.

4. Kagame
Jamaa yupo aggressive sana linapokuja suala la kuleta maendeleo kwa nchi yake. Amejitaidi sana ukizingatia historia ya ka nchi kao. Yuko very strategic na tayari kufanya chochote ili kuleta maendeleo kwao.
Ila sipendi kukaa kwake kwa muda mrefu madarakani.

Wewe umejifunza nini na kutoka kwa nani?
 
Wanaume wa kweli kwenye siasa ni MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE na Mheshimiwa saaana ndugu William Benjamin Mkapa.Baada ya po hakuna.Labda nje ya mipaka kuna Kenneth Kaunda wa Zambia,Levy Mwanawasa na Michael Satta wote wa Zambia,halafu Daniel Arap Moi wa Kenya pia na Nelson Mandela wa Afrika Kusini pamoja na NKWAME NKRUMAH wa Ghana.Na sasa tuna Traore wa Burkina Faso.
 
Back
Top Bottom