Roland T. Owen: Mwanaume aliyepatwa na masahibu ya kushangaza kwenye chumba No. 1046 ndani ya President Hotel, lakini kilichomkuta kimebaki kuwa fumbo

Safi Sana story nzuri umeenda direct hujaikatisha Wala kuleta madoido Ya sehem yangapi Na ngapi Kesho au baadae.Wanaileta story zao waige mfano wako.Bravo Sana!
Pamoja sana mkuu... Sema partition ya story inategemeana na urefu wake.... Mfano mimi ninachapa kwenye ms word, ikishavuka pg 7 lazima niigawe maana hapa inakuwa ndefu sana ukichanganya na viambatanisho kama picha n.k.
 
Tattaglia alijoin force na Barzini baada ya kushindwa vita vs Don Corleone, maana yeye ndiye aliyeanza kwa kumwondoa Luca Brasi kwa kumnyonga kwa kamba, then akashindwa kumwondoa Don Corleone. Baada ya kuungana na Barzini ndipo wakafanikiwa kumwua Sonny. Sikumbuki kati ya Sonny na mtoto wa Tattaglia nani alitangulia kufa, ila Tattaglia was said to be inferior of the 5 Dons.

Umeila vizuri mkuu, umenikumbusha kifo cha Brasi huku wenzie wakishuhudia... Ile mogul ilikuwa balaa sana.
 
Unitag Mkuu story zako nzuri sana, sasa kwann wasiende FBI au CIA kama polisi wa kawaida wameshindwa, na hao wanaofanyia hiyo kama reference haukuna aliyewai pata chanzo cha mauaji hayo?
Hakuna mkuu kwenye 2000's walijaribu tena ila wakagonga mwamba.... Maana kesi nyingi zinahifadhiwa ili zikafanyiwe further investigation huko baadaye wakiamini teknolojia itakuwa kubwa na kuwasaidia
 
Umeila vizuri mkuu, umenikumbusha kifo cha Brasi huku wenzie wakishuhudia... Ile mogul ilikuwa balaa sana.

Brasi was the only person who could frighten Don Vito.

Nakumbuka issue ya kumchinja Farasi wa yule producer aliyemtosa Johnny Fountain, "An offer he couldn't refuse".

That man was bad number. Niliumia alivyokufa.
 
Sure Brasi alikuwa mwiba mkali kwake...

Kifo chake kilikuwa too personal kama cha McCloskey... Afu scene nyingine ilikuwa ya pale mgahawani wakati Michael anamshoot Sollozzo... Hahha Michael alitumia principal ya if you can shoot just shoot dont talk..
 
Hii story nimewahi isoma mahali kwa ufupi sana, au inayokaribiana sana na hii.

Leo umeifungua kwa mapana sana na kuna vitu vingi umevigusia kwa ufafanuzi zaidi.
Hili jina lako linahusiana kwa namna yoyote na don aliyeelezewa hapo?
 
Aisee! Nimepitia kisa hiki kwa umakini. Ilikuwa lazima wapelelezi wachanganyikiwe. Very confusing!
 
Nadhani upelelezi ulipaswa kuanzia kwa wafanyakazi wote wa hotel na wageni walioingia na kuacha anuani zao.
 
Nadhani upelelezi ulipaswa kuanzia kwa wafanyakazi wote wa hotel na wageni walioingia na kuacha anuani zao.
Issue ni complications za alias.... Kama jamaa tulivyoona majina yake mengi yalikuwa ya kughushi hata suspect mkuu alimterm kama don basi.
 
Issue ni complications za alias.... Kama jamaa tulivyoona majina yake mengi yalikuwa ya kughushi hata suspect mkuu alimterm kama don basi.
Ina maana huyo Don aliingia hotelin bila kupita mapokezi na kuacha maelezo tena kwenye presidential hotel au miaka hiyo hakukuwa na utaratibu huo?
 
Ina maana huyo Don aliingia hotelin bila kupita mapokezi na kuacha maelezo tena kwenye presidential hotel au miaka hiyo hakukuwa na utaratibu huo?
Hata mimi wakat napekua huku na huko nilishangaa in and out za kiholela kweli hotelini hapo labda coz miaka hiyo kulikuwa kweusi sana.
 
Back
Top Bottom