Roland T. Owen: Mwanaume aliyepatwa na masahibu ya kushangaza kwenye chumba No. 1046 ndani ya President Hotel, lakini kilichomkuta kimebaki kuwa fumbo

ingekuwa pt ya bongo nakwambia hotel nzima ingejikuta mahabusu halafua mambo mengine yangefuata.

fikiria mhudumu kaenda kakuta mlango umefungwa halafu na hakuna rekodi za mgeni mapokezi zaidi ya ahadi ya jamaa~weka ndani mhudumu.

yule kahaba aliyesikia vishindo makelele na pumzi ya shida akapuuza~sweka ndani.

dereva wa jiji aliyekutana na jamaa akiwa uchi na jeraha halafu asimuulize~nayeye tia ndani.

mhudu wa kiume aliyekwenda kukagua simu mara ya kwanza asielewe nini kinaendelea~kama tupa ndani.

unajua sababu ya umbea na kiherehere cha watz ndio maana tunafanikiwa sana kwenye upelelezi,mbongo huwezi mjibu jibu simple tu halafu akaridhika labda awe anaumwa kichwa.
kwa mtazamo wangu wa kimbea,yule binti kahaba anamjua vizuri muuaji.
 
Nimecheka sana na hiyo avatar yako ni kwikwi mkuu.... Kweli kwenye hili tukio watu wengi walioverlook sana aisee...
 
Maskini handsome Owen sijui nini kilimkuta ,hata kutaja wauaji kaogopa sasa sijui nini kilimkuta au alijua atapona?

Bora hata mhudumu angeingia "kukobeka" simu mapemaakawasha na taa(msamiati mpya kwangu).
 
Kiswahil chetu mkuu unaweza hisi ni mtusi..

Jamaa either mapenzi ama alikuwa anamtandao wa hatari wa madili
 
Back
Top Bottom