Roland T. Owen: Mwanaume aliyepatwa na masahibu ya kushangaza kwenye chumba No. 1046 ndani ya President Hotel, lakini kilichomkuta kimebaki kuwa fumbo

A real proffesional killer../ but why Owen hides the killers...pale aliposema nimedondoka bafuni...! na sio wameingia watu wabaya na kunipiga....the way before its death..
 
A real proffesional killer../ but why Owen hides the killers...pale aliposema nimedondoka bafuni...! na sio wameingia watu wabaya na kunipiga....the way before its death..
Kuna namna alikuwa anakijua kifo chake na sababu ya kuficha ni eidha alikuwa na deals chafu na hao jamaa na walitishia maisha yake kwa namna mbaya
 
Hiyo kesi haikuwa ngumu Sana kuipeleleza maeneo ya kuyafanyia kazi yalikuwa namba Moja Ni simu Yake .Alikuwa akiwasiliana na simu gani iko wapi.Zamani hakukuwa na mobile phone kulikuwa na simu za waya..Wangepata kila kitu.Hadi nyumba ya Huyo waliyekuwa wakipigiana simu alipokuwa

Alama za vidole pia zingechukuliwa za huyo muuaji
Pili mfanyakazi yule wa jiji aliyemsaidia huyo mtu aliyekuwa na chupi tu alikuwa muhimu kwa nini hakuripoti polisi

Tatu dereva taxi aliyebeba mtu aliyevaa chupi tu na mwenye majeraha angebanwa huyo alimbebaje mtu wa Aina hiyo bila kuwa na RB? Na alimpeleka wapi? Na polisi kula nao sambamba hapo alipopelekwa

Nne mtuhumiwa mwenyewe Kama anasema alianguka kwenye sink alitakiwa afunguliwe mashtaka ya kuchomana visu na mtu asiyejulikana na abanwe aseme amtaje sababu majeraha yake si ya sink.
 
Issue ni complications za alias.... Kama jamaa tulivyoona majina yake mengi yalikuwa ya kughushi hata suspect mkuu alimterm kama don basi.
Suspect namba one kwenye hiyo kesi alitakiwa kuwa yeye mwenyewe Owen kajikata na visu halafu anasema kaanguka kwenye sink!!! Anatua maelezo ya uongo mbele ya polisi kwa kitu kilicho wazi.Polisi ilitakiwa wamkomalie hasa kwa njia zote amtaje waliyekuwa wakichinjana naye au wamfungulie mashtaka ya yeye kutaka kujiua kwa kujichinja . polisi walikuwa wazembe hiyo kesi Wala haiko complicated kwenye upelelezi
 
Back
Top Bottom