Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,724
Eeeeeh maana na wewe huwa unaniandama sana jamani......lol
mnhhhhhhhhhhhh
The Boss, hata we umeshangaa! Huyu Honey Faith anawatamani vipi KE wenzake?...
Nimekuweka kapuni jiandae
Wapi nimesema nimewatamani?Kwani kumsifia mtu ni vibaya?
Kweli mkuu yote mawili yalinichanganya mpaka nikashindwa kuona majina pale chini. Ni sheeedahh....Mbona yupo hadharani anaonekana mkuu au rojo limekutia kiwewe!