Munkari nimekuonea na nini?au baada ya kukuona PM imeanza kufurika akikusumbua mtu we nijulishe najuwa cha kufanya kama umeeejaaliwa umejaliwa tu hata mshanajr kesha anza miweweseko ila anajikaza tu!Halafu afadhali huyu Kibo10 huku, yule Bishop Hiluka kule lol...!
Halafu afadhali huyu Kibo10 huku, yule Bishop Hiluka kule lol...!
Yani wananionea hawa
Lakini hajamfikia
1 + x = you
Safi sana na naomba wakuandame hivyo hivyo......lol
unanivalisha kilemba cha ukoka
hahaha naunga mkono hoja cc Munkari
What!!! And you??
Wanavutia hao!!!