utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
Aisee mimi ichana kanidondosha
Vua mawani blaza
Aisee mimi ichana kanidondosha
MCHUNGUZI HURU Hizi ni moja ya athari za wana JF kufahamiana na kuonana uso kwa uso, refer thread uliyoianzisha leo saa nne asubuhi.
MCHUNGUZI HURU Hizi ni moja ya athari za wana JF kufahamiana na kuonana uso kwa uso, refer thread uliyoianzisha leo saa nne asubuhi.
Ona hapa Munkari alivohamaki,
''Mungu wangu!!!! Na huku tena??
Jamani jamani
Mnanionea!!!
Ila hilo rojo
Atakayelila lazima
Alambe sahani!!!!''
Kama ni kura nampigia Munkari ikwakweli
meona eeeeh liko ndembe ndembe
Hahaha muone anavyoshadadia!!!
Umefurahiiii
Mungu wangu!!!! Na huku tena??
Jamani jamani
Mnanionea!!!
Ila hilo rojo
Atakayelila lazima
Alambe sahani!!!!
wowowo lenyewe la kichina lol
Aaaah ndio maaanaaa?????
Hahaha !! Wivu tu
mii huwa sijui tofauti ya wig na zile za asili, ICHANA njoo unambie huku, wee ni kabila gani? Mzungu ama? kuanzia leo naacha card gari nyumbani! daaah, hii hatari sana hii! hizi ni neema hizi!