.[/QUOTE]<br />Waebrania7:1-28, Nimekutafutia madesa yote yanayomhusu YESU KRISTO, Naweza ita mjumuisho wa yote.Waebrania7:1-28,,,Nimekutafutia madesa yote yanayomhusu YESU KRISTO......Naweza ita mjumuisho wa yote.......Biblia haikuletwa na waliberali(ni kizazi kichafu kisicho na mda mrefu sana)Wapo wazungu wakristo wa kweli(wenye ROHO MTAKATIFU ndani yao) Bado wapo...
Nikupe mfano mdogo,,,, kama Saudi Arabia itasubutu kuruhusu Ukristo kuhubiriwa na wakaingia hawa wakristo wenye huyu ROHO MTAKATIFU kwa kitambo cha miaka saba msikiti wenu wa AL KAABA Utawekwa msalaba(take it from me))
Pitia hio mistari pole pole,,,na si lazima uimalize yote kwa siku moja......Hio ndo hunipa mtazamo sahihi kuhusu YESU.
Wewe Mkristo wa wapi mkuu, mkatoliki, pentekoste, msabato, Anglikana, Lutheran, au shahidi wa Yehova?Hao ni wanaomuelezea Mkuu.
Yesu hawezi kuwa Mungu Mkuu. Mimi mwenyewe ni Mkristo lakini napingana na hilo mpaka kifo.
Mtu kutenda miujiza hakumfanyi kuwa Mungu. Kuwa na mambo ya ajabu hakumfanyi kuwa Mungu.
Yesu ni Binadamu kama walivyowanadamu wengine.
Usipotoke.
Yesu si Mungu mkuu. Acha upotofu huoWewe Mkristo wa wapi mkuu, mkatoliki, pentekoste, msabato, Anglikana, Lutheran, au shahidi wa Yehova?
Maana yeyote anayepinga kuwa Yesu si Mungu ni mpinga Kristo!
Tatizo ni kwamba sina uhakika kama wewe ni Mkristo!Yesu si Mungu mkuu. Acha upotofu huo
Bro nimekuelewa xana but unanipa ukakasi unaposema someni biblia mkiongozwa na roho wa bwana xo km binadamu unajuaje unaongozwa na roho ya bwana nwHakuna utata wowote wapi roho inaenda baada ya kifo. Biblia takatifu imetoa ufafanuzi wa kina juu ya suala hilo. Wanaosema kuna utata au wanaoleta hoja tofauti na Biblia hivyo yote ni kazi ya Shetani kuupotosha ukweli. Someni Biblia mkiongozwa na roho wa Bwana mtaelewa vema.
kasome kitabu cha mwanzo utaelewa kijana hakuumbwa ulimwengu ulioruhusu haya kuna roho moja ilitaka kumpanda kichwani ikabidi awe diplomaticHujajibu swali, sina hakika hata kama umelielewa swali.
Kama Mungu wa Biblia yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, aliyeumba mbingu na nchi, ambaye alikuwa na uwezo wa kuuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka, kwa nini kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya yawepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo?
Hujajibu swali.
Da thing which can I say is to trust in god at all ili ata ukifa ukimkuta utakuwa na la kujitetea kuliko kutokuhamini den unakutana nae cjui utaificha wapi roho yako
Kwani Mungu ni naniYesu Si Mungu. Na hawezi kuwa Mungu.
Mungu haonekani hivyo hana mfano.
Hizo nyingine ni simulizi.
Hakuna sababu inayofanya Yesu Awe Mungu Mkuu
Kwa kweli, inakaribia, ila kuna utofauti kidogo. software na hardware ni karibu vitu ambavyo havitegemeani sana. Kwamba, ukikosa software haimaanishi kuwa hardware inaoza. Sasa hicho kinachoitwa roho, ambacho kwa kweli mimi siamini kuwa kuna kitu cha namna hiyo, kikikosekana, huwezi kukipata tena na hapo hapo mwili unaoza na kupotea. Kimsingi, hakuna roho, kuna mambo mawili, ama unaishi au umepoteza maisha, basi!Roho ni kama software.
Kama hakuumba ulimwengu ulioruhusu haya,roho hiyo isingewezekana kutokea.kasome kitabu cha mwanzo utaelewa kijana hakuumbwa ulimwengu ulioruhusu haya kuna roho moja ilitaka kumpanda kichwani ikabidi awe diplomatic
Mpinga kristo wa wakati wote ni Paulo, bahat mbaya ndie huyo huyo aliyeusambaza ukristo na kuwafikieni, na ninyi hakuna namna kwako kuelewa vinginevyo; Shk Muhsin kamuelezea vizuri sana Paulo wa Biblia, hebu msome na vituko vyake!!!!Wewe Mkristo wa wapi mkuu, mkatoliki, pentekoste, msabato, Anglikana, Lutheran, au shahidi wa Yehova?
Maana yeyote anayepinga kuwa Yesu si Mungu ni mpinga Kristo!
<br />Waebrania7:1-28,,,Nimekutafutia madesa yote yanayomhusu YESU KRISTO......Naweza ita mjumuisho wa yote.......
Yesu ni sehemu ya MUNGU mkuu, yani katika zile roho Saba za MUNGU na YESu yupo ndani yake, hivyo huwezi kumtenga YESu na uungu, alivokuja duniani alificha ukuu wake ili afanane na sisi, kwasababu angekuja na uungu wake amini watu wangekimbia, hivyo ili atuokoe, ilibidi aje kwa kupitia prosesi za kibinadamu kabisaa, ili ulimwengu usihofu.Hao ni wanaomuelezea Mkuu.
Yesu hawezi kuwa Mungu Mkuu. Mimi mwenyewe ni Mkristo lakini napingana na hilo mpaka kifo.
Mtu kutenda miujiza hakumfanyi kuwa Mungu. Kuwa na mambo ya ajabu hakumfanyi kuwa Mungu.
Yesu ni Binadamu kama walivyowanadamu wengine.
Usipotoke.
Hivi huyo Mungu wa kuficha-ficha mambo tumtafsiri vipi? Anyway kuna andiko linasema Mimi Yesu nilificha ukuu wangu?Yesu ni sehemu ya MUNGU mkuu, yani katika zile roho Saba za MUNGU na YESu yupo ndani yake, hivyo huwezi kumtenga YESu na uungu, alivokuja duniani alificha ukuu wake ili afanane na sisi, kwasababu angekuja na uungu wake amini watu wangekimbia, hivyo ili atuokoe, ilibidi aje kwa kupitia prosesi za kibinadamu kabisaa, ili ulimwengu usihofu.