Wakuu habari zenu.. mimi sio mwandishi mzuri sana mtanisamehe kama nitakuwa nimekosea .
Nilikuwa naomba ushauri bila kupoteza mda . Mimi nilingia kwenye mahusiano na Binti mmoja Ambae tulidumu mpaka sasa nimiaka miwili nipo nae, tuliaidiana vingi tulipanga mipango mingi . Uyu binti ni mtu wa dini sana (Muslim)
Nilimpenda kweli na nilimuamini . Uyu binti anasoma chuo uko MWANZA alikuja likizo uku Dar Es salaam ambapo ndio kwako, nilimpenda sana nilijitaidi kumuhudumia pale anapo pata shida kifupi nilijitoa sana juu yake . (Apo cjawai ata kupewa kisi ya shavu wakuu ) Kunasiku nilimuomba aje home kunitemberea kweli alikuja home nilimwambia naitaji sex nae alikataa na akadai Ajawai kusex anaogopa Mimba nilimbembeleza sana lakini aligoma.. nikatumia adi nguvu lakini alikataa.. sikutaka kumlazimisha mana aliaanza adi kulia nilihic wenda akua tayari kwa siku iyo.
Niliamua kumpotezea lakini nilishindwa nilimtafuta ikabidi nimuombe msamaha. siku za rikizo yake ziliisha akarudi chuo, uku akiniadi Awezi ni saliti nilimuamini kiukweli ukizingatia ni mtu wa dini, na tulienderea kuwasiliana na kupigiana simu nilienderea kumudumia na kumsaidia pale alipo kuwa na shida .
Huu mwezi amepata likizo tena amekuja Dar es salaam, zimepita wiki mbili tangia afike. nimejaribu kumuomba Sex tena ila alicho niambia nahisi kama ni utani wakuu naombeni ushauri izi ndio massage zake nimeshindwa ata chakumjibu wakuuView attachment 2307280
eti namuamin sn,ni mtu wa dini aliniambia hajawahi!Hamna kitu hapo.

Sio wanawake,ni huyo wakoShukrn mkuu kwa ushauri wako wanawake sio wa kuwamini
We ulianzaje kumhidumia mtu ambae hajakupa?Sina raha kabisa mkuu na mahusiano
Noma sana!Anakuchulia mwanakijiji usiyejitambua
Wahuni wanakula ngozi
Acha mimi nikuambie ukweli.
Wanawake huwa hatujisikii kusex na wanaume tusiowapenda.
Yaani huyo ni wazi hakupendi hata kidogo na yawezekena wewe hauna mwonekano mzuri na hela pia ni za kuungaunga.
Ukiwa na mwonekano usioridhisha ila kama una hela huwa tunajikaza hivyo hivyo, sasa ndio uwe hata hela huna..hamu zinatoka wapi sasa.
Aisee hamna mtihani mgumu kama kulala na mtu usiyempenda. Kwanza akionesha mahaba unasikia hata kumzaba kofiakileta mdomo akukisi unahisi sijui ni mdomo wa nyangumi. Aisee ni mtihani sana.

paragraph ya pili

Shamila is just a name and u cant do anything with thatSasa mbona unamuexpose Shamila?
Plus na hiyo slogan hapo, wakulungwa wataconnect dots
KmmkAlikwambia hajawahi kufanya sasa kabadili gia angani eti kashawahi mara mbili
Umepigwa
Muombe na wewe akupe mara mbili

Kama no hivyo mbona Bado ana pokea misaada ya kijana wa watuKishakwambia hajisikii kufanya sex na ameharibiwa kisaikolojia na mwanaume aliyempenda huwezi jua huyo Mwanaume alimfanyia rough gani hadi binti amekua na phobia ya sex (Genophobia) au labda ni Asexual,
Muhimu ni kuzungumza nae uso kwa uso akueleze story yake na tiba zipo hospital au achana nae tafuta mwingine.
Be Positive.

Untold truthAcha mimi nikuambie ukweli.
Wanawake huwa hatujisikii kusex na wanaume tusiowapenda.
Yaani huyo ni wazi hakupendi hata kidogo na yawezekena wewe hauna mwonekano mzuri na hela pia ni za kuungaunga.
Ukiwa na mwonekano usioridhisha ila kama una hela huwa tunajikaza hivyo hivyo, sasa ndio uwe hata hela huna..hamu zinatoka wapi sasa.
Aisee hamna mtihani mgumu kama kulala na mtu usiyempenda. Kwanza akionesha mahaba unasikia hata kumzaba kofiakileta mdomo akukisi unahisi sijui ni mdomo wa nyangumi. Aisee ni mtihani sana.

NaamKwanza hapo alivyojibiwa kuwa alifanya mara mbili na jamaa ake "ALIEMPENDA SANA TENA SANA" kwa kuweka msisitizo inaonyesha wazi kabisa kuwa jamaa hapendwi ila analazimisha tu.

Anakupima wivu huyoWakuu habari zenu.. mimi sio mwandishi mzuri sana mtanisamehe kama nitakuwa nimekosea .