Vampiree
JF-Expert Member
- Jun 29, 2020
- 530
- 1,347
- Thread starter
- #81
Daaah mkuu nilimuamini ukizingatia ata mzazi wake ananijua na sometime akiw na shida namsaidia kiainaHuu ni uzwazwa kabisa, kwanza unamuamini mwanamke kiasi hicho ili ugundue nini.!? Inasikitisha sana yaani unahudumia mwanamke miaka miwili bila kula Mbususu, aisee mimi siwezi. Mwanamke ukimpaka ndani ya wiki ya kwanza omba mchezo akizingua potezea sio unakaza fuvu utazani yeye tu ndio ana utelezi.
Alafu unapenda namna gani hivyo yaani mwanamke anakupanga unapangika, dogo una miaka mingapi?

