Roho inaniuma sana

Roho inaniuma sana

Niliamua kumpotezea lakini nilishindwa nilimtafuta ikabidi nimuombe msamaha. siku za rikizo yake ziliisha akarudi chuo, uku akiniadi Awezi ni saliti nilimuamini kiukweli ukizingatia ni mtu wa dini, na tulienderea kuwasiliana na kupigiana simu nilienderea kumudumia na kumsaidia pale alipo kuwa na shida .
Love is no longer for the Weak Mkuu....

Nikushauri tu,,,,Sitisha huduma zote kwa huyo Binti,,,acha kuwa king'asti(Mwanaume anayeabudu mbususu),,,Nasisitiza hili,,,sitisha kila kitu,,,hata Mawasiliano,,,Japo kwa maelezo yako najua hili la mawasiliano huliwezi,,,na hapo ndio Demu anakuchukulia point tatu Muhimu...

Jifunze kumudu hisia zako,,,Linalokuepuka kuna wakati huwa lina heri na wewe,,,,Usilazimishe,,,,nyuchi zipo telee,,,kuanzia za 0.00Tzs hadi Million+,,,,,Yafaa nini kulia lia na Binti mmoja....au ndio Mapenzi Upofu sasa huoni Warembo wengine???

Hata hizo Sms alizokutumia achana nazo,,,USIJIBU LOLOTE,,,,,MPUUZE....then kama sio Domo zege basi tafuta Kimwali ingizo jipya kujipoza machungu,,,,Huyo anayejiona ASALI,,muache Ajilambe...

Be a Man,,,Stay Taliban.
 
Shukrn mkuu na ichi ndio nilicho fanya
 
vijana mnafeli sana.

kwa upande wangu inakuwaga hivi

mimi:naomba tunyanduane
yeye:hapana
mimi:sawa
nafuta namba naendelea kutafuta hela.

au

mimi:naomba kukunyandua
yeye:mmmmhh
mimi :kwahyo ndio au apana
yeye:mmmmh
mimi.nafuta namba
 
Acha mimi nikuambie ukweli.
Wanawake huwa hatujisikii kusex na wanaume tusiowapenda.
Yaani huyo ni wazi hakupendi hata kidogo na yawezekena wewe hauna mwonekano mzuri na hela pia ni za kuungaunga.

Ukiwa na mwonekano usioridhisha ila kama una hela huwa tunajikaza hivyo hivyo, sasa ndio uwe hata hela huna..hamu zinatoka wapi sasa.

Aisee hamna mtihani mgumu kama kulala na mtu usiyempenda. Kwanza akionesha mahaba unasikia hata kumzaba kofiakileta mdomo akukisi unahisi sijui ni mdomo wa nyangumi. Aisee ni mtihani sana.
😂😂😂😂😂 ndio awe ananuka mdomo sasa unaweza hisi upo gamboshi na mtoa roho
 
wataalamu wa psychology wenyewe wameshindwa kuwaelewa wanawake ni viumbe wa aina gani ukweli ambao ni mchungu ni huu uyo demu hana hisia na wewe yani kwa ufupi hakupendi na ajawai kukupenda yupo kwako kukuvuna tu then mtu wake special anayempenda na anayempelekea mbususu bila hata ya kuombwa..mwanamke ni tofauti na mwanaume kwenye hisia ndio mahana mwanaume anaweza akawa na wanawake zaidi ya 10 lakini mapenzi yake yote yapo kwa mkewe tofauti na mwanamke mwanamke anatumia hisia zaidi kwenye sex kipengele kinakuja kama hisia na wewe ndugu utateseka sana excuse kibao ..piga chini uyo mandonga chuma ulete atakufirisi
 
Anatafuta uhalali wa kuhalalisha kuwa hajawahi kufanya.

Komaa kidogo unapiga huyo
 
Mnahangaika sana na wanawake vipi wakuu...kama mtu hakutaki achana naye hakuna sababu ya kujiumiza juu ya mtu mwenye akili zake timamu..

Mi kuna demu alinambia haoni kama tutaendelea kuwa pamoja hivyo anataka tuachane,sikumjibu chochote nikafuta namba zake kila mtu akachukua njia yake.

Sikumuuliza kwanini ameamua hivyo,wala kujiliza liza ni kimya kimya tu.

Sijawahi kumtafuta coz sikushika namba yake nayeye hajawahi kuntafuta kila mtu ana life lake.
 
vijana mnafeli sana.

kwa upande wangu inakuwaga hivi

mimi:naomba tunyanduane
yeye:hapana
mimi:sawa
nafuta namba naendelea kutafuta hela.

au

mimi:naomba kukunyandua
yeye:mmmmhh
mimi :kwahyo ndio au apana
yeye:mmmmh
mimi.nafuta namba
Ofsaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom