Roho inaniuma sana

Roho inaniuma sana

Acha mimi nikuambie ukweli.
Wanawake huwa hatujisikii kusex na wanaume tusiowapenda.
Yaani huyo ni wazi hakupendi hata kidogo na yawezekena wewe hauna mwonekano mzuri na hela pia ni za kuungaunga.

Ukiwa na mwonekano usioridhisha ila kama una hela huwa tunajikaza hivyo hivyo, sasa ndio uwe hata hela huna..hamu zinatoka wapi sasa.

Aisee hamna mtihani mgumu kama kulala na mtu usiyempenda. Kwanza akionesha mahaba unasikia hata kumzaba kofiakileta mdomo akukisi unahisi sijui ni mdomo wa nyangumi. Aisee ni mtihani sana.
Kwanza hapo alivyojibiwa kuwa alifanya mara mbili na jamaa ake "ALIEMPENDA SANA TENA SANA" kwa kuweka msisitizo inaonyesha wazi kabisa kuwa jamaa hapendwi ila analazimisha tu.
 
Acha mimi nikuambie ukweli.
Wanawake huwa hatujisikii kusex na wanaume tusiowapenda.
Yaani huyo ni wazi hakupendi hata kidogo na yawezekena wewe hauna mwonekano mzuri na hela pia ni za kuungaunga.

Ukiwa na mwonekano usioridhisha ila kama una hela huwa tunajikaza hivyo hivyo, sasa ndio uwe hata hela huna..hamu zinatoka wapi sasa.

Aisee hamna mtihani mgumu kama kulala na mtu usiyempenda. Kwanza akionesha mahaba unasikia hata kumzaba kofiakileta mdomo akukisi unahisi sijui ni mdomo wa nyangumi. Aisee ni mtihani sana.
Jamani nyiee, hamfanyi vizuri ujue.....
 
Kitu cha kwanza nilichopenda hapo haukujibu hizo text, hapo subira mpaka atakapokutafuta tena na akikutafuta wewe mwambia nahitaji kuonana na wewe. Mkikutana muulize kuhusu alichosema kwenye text alikuwa anamaanisha nini. hilo swala haliwezi kuisha vizuri kwenye simu lazima mkutane.
 
Wakuu habari zenu.. mimi sio mwandishi mzuri sana mtanisamehe kama nitakuwa nimekosea .

Nilikuwa naomba ushauri bila kupoteza mda . Mimi nilingia kwenye mahusiano na Binti mmoja Ambae tulidumu mpaka sasa nimiaka miwili nipo nae, tuliaidiana vingi tulipanga mipango mingi . Uyu binti ni mtu wa dini sana (Muslim)

Nilimpenda kweli na nilimuamini . Uyu binti anasoma chuo uko MWANZA alikuja likizo uku Dar Es salaam ambapo ndio kwako, nilimpenda sana nilijitaidi kumuhudumia pale anapo pata shida kifupi nilijitoa sana juu yake . (Apo cjawai ata kupewa kisi ya shavu wakuu ) Kunasiku nilimuomba aje home kunitemberea kweli alikuja home nilimwambia naitaji sex nae alikataa na akadai Ajawai kusex anaogopa Mimba nilimbembeleza sana lakini aligoma.. nikatumia adi nguvu lakini alikataa.. sikutaka kumlazimisha mana aliaanza adi kulia nilihic wenda akua tayari kwa siku iyo.

Niliamua kumpotezea lakini nilishindwa nilimtafuta ikabidi nimuombe msamaha. siku za rikizo yake ziliisha akarudi chuo, uku akiniadi Awezi ni saliti nilimuamini kiukweli ukizingatia ni mtu wa dini, na tulienderea kuwasiliana na kupigiana simu nilienderea kumudumia na kumsaidia pale alipo kuwa na shida .

Huu mwezi amepata likizo tena amekuja Dar es salaam, zimepita wiki mbili tangia afike. nimejaribu kumuomba Sex tena ila alicho niambia nahisi kama ni utani wakuu naombeni ushauri izi ndio massage zake nimeshindwa ata chakumjibu wakuuView attachment 2307280
Mimi wangu nilifanya nae mara7 ndo akafika kileleni kwa mara ya kwanza.. so pambana mkuu uwe wakwanza kumkojoza
 
Ngoja nikupe ukweli mchungu then utachagua mwenyewe kuzika au kisafirisha
.
.
Kwanza hapo huna demu una poteza muda na pesa zako bure kwanza siyo mkweli pia yupo ki maslahi kwko ila wewe upo kimapenzi pia amesha jua udhaifu wako ndomana anakusumbua

Kuna msela alisha piga tena siyo mara moja kwa mujibu wa mesej zake sasabasi jiongeze tafta demu mwingine happ anakuchora tu ameshakuona wew kama mserereko ...Mambo ya mapenzi ni ngumu kumshauri mtu lakini penye ukweli tunakwambia ukweli
 
Huu ni uzwazwa kabisa, kwanza unamuamini mwanamke kiasi hicho ili ugundue nini.!? Inasikitisha sana yaani unahudumia mwanamke miaka miwili bila kula Mbususu, aisee mimi siwezi. Mwanamke ukimpaka ndani ya wiki ya kwanza omba mchezo akizingua potezea sio unakaza fuvu utazani yeye tu ndio ana utelezi.

Alafu unapenda namna gani hivyo yaani mwanamke anakupanga unapangika, dogo una miaka mingapi?
 
Ngoja ujifunze kwa damu na jasho na machozi ili upikwe ndio uyajue. Mie nililia mtt njiani miaka iyo nikiwa kijana mdogo nadhani alinitahiri moyo so hata nikikutana na wife akitoka loji kiroho Safi nitaendelea kuishi naye bila hiyana. Kwani babu zetu hawakufumania na wakakomaa mpaka wanatengeneza Koo zao tupo Kama sie.
Like shimo Kama kijiko Cha chakula kwa mama ntilie.
Am thinking how can I make even my fifth generation waishi bila kufanya kazi wakila gawio la hisa. That's all about me but I don't have a place in my head to think about pussyy.
Huyo atakuumiza tafuta kitu kingine fanya hao viumbe huwa wanaongozwa na intuition na sio jinsi unavyomhudumia ama kumbembeleza.
Kama anakupenda anaileta mwenyewe Ni Kama kipaji hulazimishwi uwe nacho.
Ama Ni sawa na kujikwaa yaani zile reflex action,ukijua Ilo na wao wanapenda ivyo.

Kama unahudumia na hujala utaumia,subiri unapikwa uwe dhahabu
 
Huyo binti kimanzi hakupendi.........kosa kubwa ulilolifanya ni kumuamini na kuwekeza vijipesa vyako kwake........asikuambie mtu wanawake wa kileo hasa hawa wanaotokea hizi nchi zetu za kimasikini wengi wao ni matapeli....jifunze na wewe kuwa tapeli vinginevyo utakuwa unaumizwa kila siku....
Shukrn mkuu nimekupata hawa viumbe siwez rudia kosa
 
Acha mimi nikuambie ukweli.
Wanawake huwa hatujisikii kusex na wanaume tusiowapenda.
Yaani huyo ni wazi hakupendi hata kidogo na yawezekena wewe hauna mwonekano mzuri na hela pia ni za kuungaunga.

Ukiwa na mwonekano usioridhisha ila kama una hela huwa tunajikaza hivyo hivyo, sasa ndio uwe hata hela huna..hamu zinatoka wapi sasa.

Aisee hamna mtihani mgumu kama kulala na mtu usiyempenda. Kwanza akionesha mahaba unasikia hata kumzaba kofiakileta mdomo akukisi unahisi sijui ni mdomo wa nyangumi. Aisee ni mtihani sana.
Hahaha nimecheka sana shukrn kwa ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom