Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,221
- 28,667
Umemalizia vibaya,mimba huingia tu hata kama mwanaume anapunjeMkuu kubali kuachana harafu tafuta pesa siku ukiwa vizuri muonyeshe kwa vitendo.
Kitu cha pili tafuta mademu wa kupunguza stress(kupiga na kusepa) watakuondolea stress za kuwaza waza ovyo.
Tatu Komaaa kutafuta pesa ubadilishe maisha yako na ujue kabsa kwamba mwanamke akishakutamkia kwamba tuachane yeye kashajipanga muda mrefu.
Nishawahi kuachana na mwanamke harafu nikaambiwa nilikuwa simfikishi na wakati muda huo ashatoa mimba yangu, sasa nikajiuliza kama nilikuwa simfikishi hiyo mimba iliigiaje?