Roho inaniuma mpenzi wangu anataka tuachane kwa sababu hayaelewi maisha yangu

Ndugu huwezi kuishi na mtu mwenye kukupa mashinikizo huku hakuonyeshi ushirikiano wowote wa wote kuvuka kwenda uchumi wa kati, hiyo ni dhana potovu ,wakae pamoja wapange mipango na washirikiane pamoja. Uchumi ukipanda si ni wa familia kwani ni wa mwanaume mwenyewe

Mkuu hata mimi sipendi mashinikizo.
Lakini huyu dada kaweka standard zake kwa jamaa ambapo mie naona ni jambo jema.

Mtu anaekupa changamoto ufanye mambo makubwa ni wa muhimu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom