Roho inaniuma mpenzi wangu anataka tuachane kwa sababu hayaelewi maisha yangu

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kipindi nina mgogoro na mpenzi wangu niliomba ushauri humu JF kutokana na tabia za mpenzi wangu wengi walinishauri nijaribu kukaa naye chini na kuzungumza nae kiupole hatimaye nimefanikiwa na tumezungumza .

Katika mazungumzo aliniambia kiustarabu anaona bora tuachane au tuvunje uhusiano kwa sababu zifuatazo

1. Haoni future nzuli na Mimi hivyo anaona kama nampotezea muda

2. Maisha yangu hayaeleweki nimekuwa mtu wa kubangaiza ninaishi maisha ya kubahatisha hivyo bado sijasimama

3. Amejitahidi kuvumilia hali yangu ya maisha lakini uvimilivu unamshinda kwani Miaka yote haoni mabadiliko kila siku niko vile vile haoni hatua yoyote nilioipiga Katika maisha haya.

4. Finally akaniambia amenipa muda anataka kuona maisha yangu yanabadilika anataka kuona natoboa Katika maisha haya

Ila alichoniambia Kikubwa tuvunje uhusiano kama sitoweza kutimiza Yale anayoyataka yeye nimuache aendelee na maisha yake
 
Mwambie mpenzi wako anapongezwa na chige kwa sababu anapenda kwa kutumia akili na sio kwa kutumia moyo!!

Nothing personal but it's all about someone's future!!

Ngoja nikuulize: Assume una washikaji wawili! Mmoja unamuona yupo focused, anajielewa, fighter, ana uchungu na maisha and all that kiasi kwamba, hata akipata 100K anawaza kuifanyia kazi, na kama inakufa basi ni ile tunaita ajali kazini!

Mshikaji wa pili ni boya fulani hivi, akipata pesa ndo kwanza anakuita mkale bia, hata akipata kazi anakuwa mzembe mzembe!!

Now assume unaokota jiwe la Tanzanite linalokupa milioni kadhaa!! Je, uta-team up na mshikaji gani kati ya hayo wawili ili mfanye mambo ya kuelewa?!

Narudia, i's not personal... it's all about future na ndio maana hata wewe mwenyewe ukikutana na demu haeleweki eleweki, unaishia kupiga na kusepa, na hata kama unakaa nae, unajua kabisa ukiamua kuoa, atakuwa mwingine na sio huyo!

Itoshe tu kusema kwamba, hata mzazi anawekeza kwa mtoto ambae future yake inasomeka, seuze nyie mnaokutana ukubwani halafu bado mnataka mpendwe unconditionally wakati hata mama zenu wakiwaona maboya wanawapa kubwa!
 
Kipindi Nina mgogoro na mpenzi wangu niliomba ushauli humu jf kutokana na Tabia za mpenzi wangu wengi walinishauli nijaribu kukaa nae chini na kuzungumza nae kiupole hatimaye nimefanikiwa na tumezungumza .

Katika mazungumzo aliniambia kiustarabu anaona bora tuachane au tuvunje uhusiano kwa sababu zifuatazo

1.haoni future nzuli na Mimi hivyo anaona kama nampotezea muda

2.maisha yangu hayaeleweki nimekuwa mtu wa kubangaiza ninaishi maisha ya kubahatisha hivyo bado sijasimama

3.amejitahidi kuvumilia hali yangu ya maisha lakini uvimilivu unamshinda kwani Miaka yote haoni mabadiliko kila siku niko vile vile haoni hatua yoyote nilioipiga Katika maisha haya.

4.finally akaniambia amenipa muda anataka kuona maisha yangu yanabadilika anataka kuona natoboa Katika maisha haya

Ila alichoniambia Kikubwa tuvunje uhusiano kama sitoweza kutimiza Yale anayoyataka yeye nimuache aendelee na maisha yake
Ukweli mchungu ila huyo bi.mdada kashapewa somo kuhusu wanaume surualiiii sasa inawezekana wee ndo miongoni mwao
 
Mwambie mpenzi wako anapongezwa na chige kwa sababu anapenda kwa kutumia akili na sio kwa kutumia moyo!!

Nothing personal but it's all about someone's future!!

Ngoja nikuulize: Assume una washikaji wawili! Mmoja unamuona yupo focuses, anajielewa, fighter, ana uchungu na maisha and all that kiasi kwamba, hata akipata 100K anawaza kuifanyia kazi, na kama inakufa basi ni ile tunaita ajali kazini!

Mshikaji wa pili ni boya fulani, akipata pesa ndo kwanza anakuita mkale bia, hata akipata kazi anakuwa mzembe mzembe!!

Now assume unaokota jiwe la Tanzanite linalokupa milioni kadhaa!! Je, uta-team up na mshikaji gani kati ya hayo wawili?!

It's not personal... it's all about future na ndio maana hata wewe mwenyewe ukikutana na demu haeleweki eleweki, unaishia kupiga na kusepa, na hata kama unakaa nae, unajua kabisa ukiamua kuoa, atakuwa mwingine na sio huyo!

Itoshe tu kusema kwamba, hata mzazi anawekeza kwa mtoto ambae future yake inasomeka, seuze nyie mnaokutana ukubwani halafu bado mnataka mpendwe unconditionally wakati hata mama zenu wakiwaona maboya wanawapa kubwa!
nakuhakikishia mbingu utaishia kuisikia kwa Rose Muhando
 
Mwambie mpenzi wako anapongezwa na chige kwa sababu anapenda kwa kutumia akili na sio kwa kutumia moyo!!

Nothing personal but it's all about someone's future!!

Ngoja nikuulize: Assume una washikaji wawili! Mmoja unamuona yupo focused, anajielewa, fighter, ana uchungu na maisha and all that kiasi kwamba, hata akipata 100K anawaza kuifanyia kazi, na kama inakufa basi ni ile tunaita ajali kazini!

Mshikaji wa pili ni boya fulani hivi, akipata pesa ndo kwanza anakuita mkale bia, hata akipata kazi anakuwa mzembe mzembe!!

Now assume unaokota jiwe la Tanzanite linalokupa milioni kadhaa!! Je, uta-team up na mshikaji gani kati ya hayo wawili ili mfanye mambo ya kuelewa?!

Narudia, i's not personal... it's all about future na ndio maana hata wewe mwenyewe ukikutana na demu haeleweki eleweki, unaishia kupiga na kusepa, na hata kama unakaa nae, unajua kabisa ukiamua kuoa, atakuwa mwingine na sio huyo!

Itoshe tu kusema kwamba, hata mzazi anawekeza kwa mtoto ambae future yake inasomeka, seuze nyie mnaokutana ukubwani halafu bado mnataka mpendwe unconditionally wakati hata mama zenu wakiwaona maboya wanawapa kubwa!
Waziiii! Mi naona mama atembee tu japo inauma moyo...ila itakuwa chachu ya msela kujitafuta. Niliwahi pitia hio situation. It hit me really hard ila nilipata nafasi ya kukua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom