Roho inaniuma mpenzi wangu anataka tuachane kwa sababu hayaelewi maisha yangu

Halafu hiyo sijawahi kuwa na uadui na ex-wangu!! Hata ikitokea tuliachana katika mazingira ya kununiana, LAZIMA nitafuta namna ya kusawazisha mambo bila kujali nani tatizo ili mradi tu finally tuwe apart in peace!!!

Infantry Soldier, grow up man! You don't need to make your ex one of your "enemies"!
Mkuu, suala sio kuwa maadui. Issue ni kwamba kilichokuwa kinatuweka pamoja ni mapenzi na sasa yamekwisha, kwanini tuendelee kuwasiliana?
 
Mkuu kubali kuachana harafu tafuta pesa siku ukiwa vizuri muonyeshe kwa vitendo.

Kitu cha pili tafuta mademu wa kupunguza stress(kupiga na kusepa) watakuondolea stress za kuwaza waza ovyo.

Tatu Komaaa kutafuta pesa ubadilishe maisha yako na ujue kabsa kwamba mwanamke akishakutamkia kwamba tuachane yeye kashajipanga muda mrefu.

Nishawahi kuachana na mwanamke harafu nikaambiwa nilikuwa simfikishi na wakati muda huo ashatoa mimba yangu, sasa nikajiuliza kama nilikuwa simfikishi hiyo mimba iliigiaje?
....blo, swala la kumpa mimba mwanamke vs kumfikisha kileleni n maswala mawili tofauti kabisa.
 
Mkuu, suala sio kuwa maadui. Issue ni kwamba kilichokuwa kinatuweka pamoja ni mapenzi na sasa yamekwisha, kwanini tuendelee kuwasiliana?
No, hapo itakuwa ambacho kiliwaweka pamoja ni ngono, na suala la uwezekano wa kufanya ngono likishaisha, then hayo mengine ndo hutokea!!

Watu aina yangu uhusiano wetu na wapenzi wetu tunaujenga kiurafiki zaidi kuliko kujengwa kingono ngono! Yaani she becomes my girlfriend/wife and a partner/friend at the same time!

Hapo ule uhusiano wa chumbani ukishaisha, ule mwingine utabaki though kwa siku za awali unaweza kukumbwa na some turbalance.
 
Demu anamkimbia mwamba kwa sababu hana pesa. Pesa ndio bright future mzee baba.
Demu anamkimbia mwamba kwa sababu he doesn't show a bright future! Kwani hapo kabla alipokuwa nae alimkuta akiwa na pesa?!

Sometimes mademu wanaishi kwa matumaini! Kwa mfano, kama wewe ni college boy, demu anaweza kuwa na wewe kwa sababu ana-anticipate your future!

Lakini baada ya kumaliza, badala ya ku-hustle ndo kwanza unaenda kuishi kwa shemeji na remote mkononi haitoki! Siku akikukuta na 50K, basi ulitumwa gengeni, ukabania book au book 2 ukaenda ku-bet na zari likawa kwako; na hayo yanakuwa ndo maisha yenyewe!

Sasa kwanini asikumwage we umekuwa nani?! Hapo hata ukienda kuishi kwa babako, utakuwa unalazimishwa usifuge nyewele kwa sababu unamaliza sabuni ya kuogea; seuze demu uliyekutana nae JF!!
 
Kwangu mimi ni never. Nikiachana na mpenzi wangu, that is a one way ticket, I will never look back.
Issue sio ku-look back lakini unavyoachana kwa vitimbwi na misonyo huku ukikimbilia kufuta contacts zake inaonesha wazi kwamba bado unamtaka, na pia huwezi ku-manage personal conflicts kama nilivyosema hapo awali!!

Na kwa kawaida, hayo mambo ya kukimbilia kufuta contacts yanatokea sana pale wewe unapopigwa chini au unapoona dalili zote kwamba Manzi hana time na wewe!!!
 
Issue sio ku-look back lakini unavyoachana kwa vitimbwi na misonyo huku ukikimbilia kufuta contacts zake inaonesha wazi kwamba bado unamtaka
Ningekuwa bado ninamtaka nisingefuta number yake. Mkuu, I am writing this from my personal experience.
 
Na kwa kawaida, hayo mambo ya kukimbilia kufuta contacts yanatokea sana pale wewe unapopigwa chini au unapoona dalili zote kwamba Manzi hana time na wewe!!!
Upo sahihi kwa kiasi fulani ingawa sio sana ndio maana na mimi ninafuta number zake na kumpiga block social media ili na mimi kumuonesha kuwa yeye si lolote wala chochote kwangu na ninaweza kuishi bila yeye.
 
MUACHE AENDE ZAKE, MUACHE KWA SABABU DUNIA HAIWEZI KUBADILIKA KWA KUACHANA KWENU. NI NGUMU KUMFUNZA NGURUWE USAFI NA UZURI WAKATI YEYE HATAKI..............NI NGUMU KUMSHAWISHI NYANI KUWA ASALI NI TAMU KULIKO NDIZI......KAMA IPO IPO TU..................AU UNA EMOTIONAL DISORDER? ANZA LEO KUJIWEKEA VIGEZO NA MASHARTI YA WANAWAKE UNAO WATAKA MAISHANI UTAKUWA NA AMANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom