Roho imeniuma sana

Roho imeniuma sana

Anakujaribu, vumilia. Wanaume ni mali ghafi, unatakiwa usikate tamaa.

Unless you don't have a long term plan with him.
 
mkuu jiongeze basi suala liko wazi kabisa Jamaa ako alimiss mgegedo.... pili kwa jamaa ako kushindwa kupokea simu yako inaonesha wazi keshakuchoka na wewe kama mtu mzima anza kuwa na plan B kuanzia sasa.... kila la kher
Ila usawa huu sio aisee. Hadi 500 inarudiwa lol
hiyo njemba ina roho ngumu kweliii sidhani hata kama ingekuwa ni wewe ungemvumilia mkuu
 
Pole sana, chukua tu ustaarabu wako jamaa hakupendi. Halafu kuna mahali umeruka, mlikula tunda usiku? Nahisi jamaa alikuita anataka tunda sasa akaona akikwambia direct hutokwenda.

Hapa nimehisi kitu aisee. Kuna uwezekano ucku hawakupeana tunda, sasa jamaa kakaza vyuma nae

Rogie
 
mkuu jiongeze basi suala liko wazi kabisa Jamaa ako alimiss mgegedo.... pili kwa jamaa ako kushindwa kupokea simu yako inaonesha wazi keshakuchoka na wewe kama mtu mzima anza kuwa na plan B kuanzia sasa.... kila la kher

hiyo njemba ina roho ngumu kweliii sidhani hata kama ingekuwa ni wewe ungemvumilia mkuu
Hahaaaa. Ndio ishatokea sasa inambidi ajue namna ya kumkabili sasa mana kwa hali hiyo sidhani hata kama leo amekula.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sasa kutoka kazin kwake hatumii nauli mpaka arudie miatano duuh pole mwaya

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] itakua kuna kitu walikorofishana hajatuambia, ndio maana jamaa akarudi ameona you are not deserving even a single cent.
Sema yote bwana ili tukuhurumie, maana huku umekuja kusema kutafuta faraja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahahhha atakua mwalimu huyo;[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sitaki kusema sana, lakini nyie wanawake, apart from sex, what else can you offer? Kazi unafanya lakini kodi yachumba, hela ya vocha, salon nguo, kutoka out nk nk nk kila kitu mwanaume agharamie. Kali zaidi hata jero ya nauli pia???!!
Mama Pitaaaaa daaahh
 
Back
Top Bottom