Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,790
- 182,962
Si aseme hana ili bibie ajue atafanya nini!!! Mpenzi wako unashindwa kumueleza kuwa huna!!!!
Si aseme hana ili bibie ajue atafanya nini!!! Mpenzi wako unashindwa kumueleza kuwa huna!!!!
Ameeeeeeeeeen!Yaani kama mwanaume huna hata pesa ya nauli kumpa mwanamke bora hata usiwe na mpenzi.
Yaani aanze kujiandaa kisaikolojia.
Sidhani kama kasema yeye ni tegemezi, ameongelea mazingira yaliyopelekea hilo limkute, hapa huyu mwanaume sio wa kutetewa bwana. Kwanza kadanganya anaumwa kumbe walaa haumwi. Kaombwa nauli hajajibu kama atatoa au laa.
Hivi mtu wa hivyo siku nyingine akikwambia anaumwa si unampa pole tu na kuendelea na shughuli zako!!
The thing here ni kuwa binti alimjali, kakurupuka akawahi, ila kumbe anawahi uongo ila kwa upande wa mwanaume inaonekani ni mtu asiemjali mwenzake. Hofu sana mwanaume ambae hakujali kipindi cha uchumba, jiandae hivyo hivyo hata kwenhe ndoa.
Hizo ni dharau, akufukuzae hakwambii toka. Ajiongeze tu.To make it worse katumiwa ujumbe mfupi na binti kwamba sina nauli kakaaa kimya hajajibu. Sasa huyu utasema hana au ni dharau tu. Doris Gabriel
Hizo ni dharau, akufukuzae hakwambii toka. Ajiongeze tu.
Nikweli kutokujibu nayo haileti picha nzuri ila labda hakuwa nayo akaona aibu kujibu akaona akae kimyaTo make it worse katumiwa ujumbe mfupi na binti kwamba sina nauli kakaaa kimya hajajibu. Sasa huyu utasema hana au ni dharau tu. Doris Gabriel
Doris, we unaona aibu kumwambia mpenzi wako kwamba sina pesa? Au niko vibaya subiri nikutafutie!!Nikweli kutokujibu nayo haileti picha nzuri ila labda hakuwa nayo akaona aibu kujibu akaona akae kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Rogie nimechekaDoris, we unaona aibu kumwambia mpenzi wako kwamba sina pesa? Au niko vibaya subiri nikutafutie!!
Kukaa kimya ni dharau ya hali ya juu.
Really, that guy is a clown.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Rogie nimecheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigo kala Jamani Dada wawatu kashughulika ipasavyo asubuhi hajapewa kiinua mgongo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ila uyo kaka kama mhindi maana ukifanya Kazi kwa hawa wahindi kulipa inshuReally, that guy is a clown.
Hahaha hebu kwenda hukoo.Mzigo kala Jamani Dada wawatu kashughulika ipasavyo asubuhi hajapewa kiinua mgongo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ila uyo kaka kama mhindi maana ukifanya Kazi kwa hawa wahindi kulipa inshu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Wanaume Mungu anawaona huko chini bonde laufa kunawaka moto ata ya panodol Jamani [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] khaaaaaaHahaha hebu kwenda hukoo.
Rogie unanifanya niwe chiz[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahaha hebu kwenda hukoo.
Hahaha pole, angalia tu nisikupeleke Mirembe.Rogie unanifanya niwe chiz[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona sasa badala milembe tumpeleke uyo kaka aliekopa k akakimbia unipeleke Mimi niliemzima[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]naisi huyu jamaa kakuambukiza uchiz sasa tukupelekeHahaha pole, angalia tu nisikupeleke Mirembe.
Weweee...nimekushindwa tabia..mtizame kwanza.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Wanaume Mungu anawaona huko chini bonde laufa kunawaka moto ata ya panodol Jamani [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] khaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app