1. Unajuaje kama alikua hana hela...??
2. Au roho imekuuma kwakua tu alikutafuna na asubuhi akakuachia manyoya..!?
3. Hivi kweli kama huyo ni mpenzi wako, kwani ni lazima akulipe kila ukilala kwake....!?
4. Mbona sikunyingine haujawahi kuja kuyasema mazuri yake, ama hata kumuanzishia thread kila akikupa pesa...!?
5. Ulitaka akulipe, kwani wewe ni mfanya biashara ya mwili wako....!?
Aggghhhhh......

Nimejikuta napata maswali mengi kabla ya kukushauri aiseee.....
Anyway, huo ni mtazamo wangu tu. Naomba nisirushiwe mawe