Ni mapema sana kujudge kwa upande mmoja...
1.Inawezekana jamaa kachunguza cm yako usiku kaona kuna sponser so kachukia why anahudumia while wako wawili au zaidi..
2.Inawezekana jamaa hataki aondoke..
3.Inawezekana kamchoka anamtafutia sababu....
4.Inawezekana jamaa kakuona sio wife material mwanaume akiwa anataka kuoa huwa wanakuwa na vigezo vingi sana labda kaamka morning kajiandalia breakfast au kaondoka na njaa...kajipasia nguo n.k....
5.Lakini pia inawezekana kitendo cha kukuita ghafla na kuamua kulala kwake coz hapo umesema muda umeenda umeamua kulala kwake kimekudisqualify kuwa mke...
kuna sababu zaidi ya mia za upande wa pili bado hatuzijui na hatutazijua
Sent using
Jamii Forums mobile app