Robo ya Wamarekani wanalala na njaa

Robo ya Wamarekani wanalala na njaa

Kwamba watu zaidi ya milioni 86 wanalala Njaa
 
chote ulichkiandika hapa ni kwa msaada wa technology ya marekani,bila wao usingeli type hapa! Unalijua hilo?
suala si uwepo au hawana access na teknolojia isipokuwa hawali chakula. Ni sawa na mtu uwe na nyumba, japo hulali nje lakini huna pesa ya chakula
 
Fikiria tena
Fikiria tena kuwa despise wamarekani wakati ARV za shangazi yako ni msaada wao maana by market price wote tungeli perish na HIV! Tuwe na kiasi cha kuwasakama.... wana makosa swa lkn tusisahau the other side of the coin.

Si ajabu kama uko serikalini mshahara wako unatoka USA in one way or another!
 
suala si uwepo au hawana access na teknolojia isipokuwa hawali chakula. Ni sawa na mtu uwe na nyumba, japo hulali nje lakini huna pesa ya chakula
Huyu alitaka kuonesha kuwa wao ni masikini. Hilo ndilo nalikataa........... uliza sababu kwanini hilo liko hivyo (kama ni kweli anyway) maana mitandao ni kil mmoja anweza kusema lake...
 
chote ulichkiandika hapa ni kwa msaada wa technology ya marekani,bila wao usingeli type hapa! Unalijua hilo?
Sio kweli, hata walk hununua teknolojia au hati miliki ya teknolojia kutoka Kwa wavumbuzi wa nchi zingine.
 
Yaani ww ni mjinga na hauna akili, homeless in USA haepukiki since ni nchi inayopokea wahamiaji wengi mno kutoka kila pembe ya dunia kuanzia Iran, Urusi, China, Afrika, Latina Amrica, etc

Ni lazima wazamiaji walale njaa tena nje, ingekuwa kama unavyoileta hapa ww basi kusingekuwepo na exodus nying kwenda USA leo ok, USA ndio dunia ijue hiyo ok
Masikini wengi ni raia weusi na walatino.Hii ni KUTOKANA na historia ya ubaguzi wa rangi na sio swala la wakimbizi au wahamiaji .wamarekani wengi huishi KUTOKANA na rangi ZAO Kila rangi huishi katika mitaa Yao.
 
Ukiona Nchi Inapigana Vita Huku Inagawa Misaada iogope Usifikili Vinakuja Vyenyewe Ni Mipango na Akili na Usimamizi mzuri wa Madalaka
 
Huyu alitaka kuonesha kuwa wao ni masikini. Hilo ndilo nalikataa........... uliza sababu kwanini hilo liko hivyo (kama ni kweli anyway) maana mitandao ni kil mmoja anweza kusema lake...
Siyo kweli wewe umekurupuka tu. Hakuna mahali ameonyesha hilo. Mleta uzi ameretell na kucopy na kupaste tu habari.
 
IMG_5403.jpg
 
Back
Top Bottom