WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,013
Yaani ww ni mjinga na hauna akili, homeless in USA haepukiki since ni nchi inayopokea wahamiaji wengi mno kutoka kila pembe ya dunia kuanzia Iran, Urusi, China, Afrika, Latina Amrica, etckwani kaongelea habari za tecknolojiaa au kasema kuhusu wamarekani kulala nje aisee ni shida unakurupuka tu tecknolojia hata korea kaskazini wanayo ...irani wanayo urusi ndio usiseme balaa ishiiiView attachment 2597336View attachment 2597338View attachment 2597337View attachment 2597339
Ni lazima wazamiaji walale njaa tena nje, ingekuwa kama unavyoileta hapa ww basi kusingekuwepo na exodus nying kwenda USA leo ok, USA ndio dunia ijue hiyo ok