Robo ya Wamarekani wanalala na njaa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Robo ya Wamarekani wanalala na njaa

Apr 23, 2023 07:04 UTC

[https://media]

Robert F. Kennedy anayewani kuwa mgombea rais wa Marekani amesema hali ya kiuchumi na kijamii katika nchi hiyo ni mbaya.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, Kennedy, ambaye alianza kampeni zake za uchaguzi siku mbili zilizopita, ametangaza katika taarifa kwamba robo ya watu nchini Marekani hawawezi kukidhi mahitaji yao na hulala na njaa.

Kulingana na mrithi huyo wa familia maarufu ya Kennedy, wanajeshi 33,000 wa zamani wa Marekani hawana makazi na hivi sasa ni miongoni mwa watu wasio na pa kuishi nchini humo.

Mwaniaji huyo wa nafasi ya kugombea urais wa Marekani ameendelea kwa kukumbusha kuhusu hali mbaya ya wanajeshi wa nchi hiyo na kueleza kwamba wanajeshi 23 wa Marekani hujiua kila siku.

Robert F. Kennedy Jr, mwenye umri wa miaka 69, mwanaharakati wa kisiasa ambaye anajulikana zaidi kwa kampeni yake ya kuzitoa thamani chanjo za corona, ametangaza nia ya kugombea uteuzi wa kuwania urais wa Marekani katika uchaguzi wa 2024 kwa niaba ya Chama cha Democratic.

Yeye ni mpwa wa hayati wa John F. Kennedy, rais wa 35 wa Marekani.../

My take:Superpower la ushoga namchongo

4c3k4798b0773d29xa1_800C450.jpg
 
View attachment 2596917
chote ulichkiandika hapa ni kwa msaada wa technology ya marekani,bila wao usingeli type hapa! Unalijua hilo?
 
Uliyoandika hapa ni kweli kabisa mkuu,ila sijui kama watu wanajua kwamba it is by design.Imeshapangwa kwamba America iwe Third World Country na the NWO Cabal or the Khazarian Mafia who rules America and infact the World,kwa hiyo sidhani kama Robert Kennedy ataweza kufanikiwa kuwa Rais wa Marekani,pamoja na ukweli kwamba ndiye anayefaa kuwa Rais wa Marekani.

Niseme hivi,kila mbinu ovu,ikiwemo kuiba kura zitatumika,ili kumzuia Kennedy asiwe Rais wa Marekani.
 
Robo ya Wamarekani wanalala na njaa

Apr 23, 2023 07:04 UTC

[https://media]

Robert F. Kennedy anayewani kuwa mgombea rais wa Marekani amesema hali ya kiuchumi na kijamii katika nchi hiyo ni mbaya.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, Kennedy, ambaye alianza kampeni zake za uchaguzi siku mbili zilizopita, ametangaza katika taarifa kwamba robo ya watu nchini Marekani hawawezi kukidhi mahitaji yao na hulala na njaa.

Kulingana na mrithi huyo wa familia maarufu ya Kennedy, wanajeshi 33,000 wa zamani wa Marekani hawana makazi na hivi sasa ni miongoni mwa watu wasio na pa kuishi nchini humo.

Mwaniaji huyo wa nafasi ya kugombea urais wa Marekani ameendelea kwa kukumbusha kuhusu hali mbaya ya wanajeshi wa nchi hiyo na kueleza kwamba wanajeshi 23 wa Marekani hujiua kila siku.

Robert F. Kennedy Jr, mwenye umri wa miaka 69, mwanaharakati wa kisiasa ambaye anajulikana zaidi kwa kampeni yake ya kuzitoa thamani chanjo za corona, ametangaza nia ya kugombea uteuzi wa kuwania urais wa Marekani katika uchaguzi wa 2024 kwa niaba ya Chama cha Democratic.

Yeye ni mpwa wa hayati wa John F. Kennedy, rais wa 35 wa Marekani.../

My take:Superpower la ushoga namchongo

View attachment 2596917
Hivi unafikiri kweli Robo ya wamarekani wanaweza kulala kwenye firstly world country duniani. Wenye dhiki marekani ni wale drug addict tuu. mtu mwenye Akili zake timamu hawezi kulala njaa marekani. US fursa za kupata pesa ni nyingi Sana compared na nchi nyingi duniani. Ile ni first world country
 
Kumbe hujui chochote
 
Marekani sio nchi ya kula na kulala bure, wala huyo Kennedy akichaguliwa hatowaweka chakula mdomoni. Marekani ni capitalists, asiyefanya kazi na asile. Kama unajua huwezi fanya kazi na huna vigezo vya kupewa msaada nenda Qatar kama uko watu wanalishwa bure
 
Hivi unafikiri kweli Robo ya wamarekani wanaweza kulala kwenye firstly world country duniani. Wenye dhiki marekani ni wale drug addict tuu. mtu mwenye Akili zake timamu hawezi kulala njaa marekani. US fursa za kupata pesa ni nyingi Sana compared na nchi nyingi duniani. Ile ni first world country
lingine hilo hapo .....
 
Huwa naudhika kweli nikiona comments za hivi. Comments za hivi huwa ni za watu ambao wana low IQ,wavivu sana wa kufikiri na walioshikiwa akili.
majitu yaliyo zaliwa juzi utayajua tuu mitandao na muvi za holly wood zimewajaa kichwani hawajui nje ya marekni kuna technolijia ya juu kuliko hata marekani yenywe ....muulize nani au nchi gani ya kwanza kupeleka satelite kwenye orbit na ni mwaka gani ?
ila ila kwa akili za huyo atakwambia ni ELON MUSK....sheeeeee
 
Hivi unafikiri kweli Robo ya wamarekani wanaweza kulala kwenye firstly world country duniani. Wenye dhiki marekani ni wale drug addict tuu. mtu mwenye Akili zake timamu hawezi kulala njaa marekani. US fursa za kupata pesa ni nyingi Sana compared na nchi nyingi duniani. Ile ni first world country
Ebu muulize huyu Kimsgirl mkuu wa kitengo cha propaganda cha Iran na washia huku East Afric kwamba na Roma mkatoliki analala njaa au? wivu mbaya sana kwa wavaa vipedo huyu kimsgirl hasije akatuletea ushia wake hapa kwetu.

USA sio Iran,Lebanon, hisbollah anao wapigia upate hapa Tanzania, USA ni donor country na ndo inayofadhili UN agencies nyingi hadi kwao hapo Iran, Lebanon, etc

Ingawa umaskini hupo USA but mwambie aangalie ni race ipi ni masikini waazamiaji from latin Amerika, Asia, Africa na kwingineko, hata yeye anatamani ajitose aende USA and not kwa washia wenzake
 
majitu yaliyo zaliwa juzi utayajua tuu mitandao na muvi za holly wood zimewajaa kichwani hawajui nje ya marekni kuna technolijia ya juu kuliko hata marekani yenywe ....muulize nani au nchi gani ya kwanza kupeleka satelite kwenye orbit na ni mwaka gani ?
ila ila kwa akili za huyo atakwambia ni ELON MUSK....sheeeeee
Wewe umevurugwa na USA sio bure babu ee, USA ndo baba lenu hapa duniani kila kitu mnataka mligane naye it means amewazidi ok

USA wamepiga hatua kubwa sana hapa duniani mwambie huyo kimsgirl kwamba Iran bado sana tena sana na Urusi ndo hivo tena duh
 
Back
Top Bottom