Robert Mugabe a liberator or tyrant?

  • Thread starter Tumaini The Genius
  • Start date
Tumaini The Genius

Tumaini The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Messages
356
Points
500
Tumaini The Genius

Tumaini The Genius

JF-Expert Member
Joined May 29, 2018
356 500
Kulingana na historia yake ya utawala na ukandamizaji wa demokrasia, je Mugabe anastahili kumbiwa pumzika kwa amani au uchomwe motoni?
fb_img_15677496376049899-jpeg.1199825
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
9,879
Points
2,000
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
9,879 2,000
je mjomba wako jiwe ?
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
5,966
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
5,966 2,000
Mungu ndie anaye jua wapi ataenda ila Mimi namtakia pepo maana alinifurahisha kuchukua mashamba ya wazungu kuwapa wazawa kwa kitendo icho nchi za magharibi wakaunda vikwazo wakapandikiza chuki kila aina ya ubaya wakaweka Zimbabwe
 
jozzeva

jozzeva

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Messages
2,067
Points
2,000
jozzeva

jozzeva

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2012
2,067 2,000
Apumzike kwa Amani.
 
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
25,808
Points
2,000
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
25,808 2,000
Kulingana na historia yake ya utawala na ukandamizaji wa demokrasia, je Mugabe anastahili kumbiwa pumzika kwa amani au uchomwe motoni? View attachment 1199825
Ukiwa mjinga ulielishwa na mzungu kinyesi kibichi cha mtu mzima na kikakukolea, unaweza sema Mugabe rot in hell...

MiMI NASEMA, SIMBA WA AFRICA REST IN PEACE...
 
J

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
697
Points
1,000
J

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2017
697 1,000
Ukiwa mjinga ulielishwa na mzungu kinyesi kibichi cha mtu mzima na kikakukolea, unaweza sema Mugabe rot in hell...

MiMI NASEMA, SIMBA WA AFRICA REST IN PEACE...
mzee vip mbona matusi na hasira nyingi? huu ni mjadala tu, usipigane
 
Ngorunde

Ngorunde

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2006
Messages
1,579
Points
2,000
Ngorunde

Ngorunde

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2006
1,579 2,000
Asilimia kubwa ya ubaya ulionekana kwa Mugabe ni wa 'kuchonga' Wazungu sio watu wazuri!!
 
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
2,922
Points
2,000
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
2,922 2,000
kwani ukisema hayo maneno ndio yatatokea?,,
 
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Messages
896
Points
500
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2017
896 500
Inafaa kwasababu yule ni shujaa wa Africa.
 
V

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
1,457
Points
1,500
V

viking

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
1,457 1,500
Poleni watu wa Zimbambe kwa kifo cha Cde Robert Mugabe.

Ukizungumzia Uhuru wa Zimbambwe toka kwa Wakoloni bila ya kumtaja Robert Mugabe basi maelezo yako yatakuwa na kasoro, Robert Mugabe mchango wake ulikuwa mkubwa sana katika kupigania uhuru wa Zimbabwe mpaka Aprili 1980 Zimbabwe ilikuwa Taifa huru.

Ni kwa kawaida wana diplomasia Wa Kiafrika kuto kosoana katika masuala ya uongozi au uchaguzi mkuu,,Changamoto la utawala Mugabe lilianza Rasmussen mwaka 1999 wakati Chama kikuu cha upinzani cha MDC chini ya Morgani Tsangirai kilipo anzishwa , Na pia kundi kubwa la war veterans walipo anza vita ya kutwaa ardhi ilio kuwa inamilikiwa na wazungu.

Chimbuko la MDC likuwa changamoto kubwa sana katika utawala Mugabe Hugo akiwatuhumu kuwa wana fadhililiwa na Mataifa ya nchi za nje ili kuendeleza ukoloni mamboleo.Katika uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi inasadikiwa kuwa watu zaidi ya 20,000 walipoteza maisha yao wengi wao toka upande WA upinzani .
 

Forum statistics

Threads 1,335,176
Members 512,245
Posts 32,498,030
Top