Robert Mugabe a liberator or tyrant?

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Kulingana na historia yake ya utawala na ukandamizaji wa demokrasia, je Mugabe anastahili kumbiwa pumzika kwa amani au uchomwe motoni?
FB_IMG_15677496376049899.jpeg
 
Mungu ndie anaye jua wapi ataenda ila Mimi namtakia pepo maana alinifurahisha kuchukua mashamba ya wazungu kuwapa wazawa kwa kitendo icho nchi za magharibi wakaunda vikwazo wakapandikiza chuki kila aina ya ubaya wakaweka Zimbabwe
 
Asilimia kubwa ya ubaya ulionekana kwa Mugabe ni wa 'kuchonga' Wazungu sio watu wazuri!!
 
Poleni watu wa Zimbambe kwa kifo cha Cde Robert Mugabe.

Ukizungumzia Uhuru wa Zimbambwe toka kwa Wakoloni bila ya kumtaja Robert Mugabe basi maelezo yako yatakuwa na kasoro, Robert Mugabe mchango wake ulikuwa mkubwa sana katika kupigania uhuru wa Zimbabwe mpaka Aprili 1980 Zimbabwe ilikuwa Taifa huru.

Ni kwa kawaida wana diplomasia Wa Kiafrika kuto kosoana katika masuala ya uongozi au uchaguzi mkuu,,Changamoto la utawala Mugabe lilianza Rasmussen mwaka 1999 wakati Chama kikuu cha upinzani cha MDC chini ya Morgani Tsangirai kilipo anzishwa , Na pia kundi kubwa la war veterans walipo anza vita ya kutwaa ardhi ilio kuwa inamilikiwa na wazungu.

Chimbuko la MDC likuwa changamoto kubwa sana katika utawala Mugabe Hugo akiwatuhumu kuwa wana fadhililiwa na Mataifa ya nchi za nje ili kuendeleza ukoloni mamboleo.Katika uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi inasadikiwa kuwa watu zaidi ya 20,000 walipoteza maisha yao wengi wao toka upande WA upinzani .
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom