The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 820
- 2,070
Kulingana na historia yake ya utawala na ukandamizaji wa demokrasia, je Mugabe anastahili kumbiwa pumzika kwa amani au uchomwe motoni?
Ukiwa mjinga ulielishwa na mzungu kinyesi kibichi cha mtu mzima na kikakukolea, unaweza sema Mugabe rot in hell...Kulingana na historia yake ya utawala na ukandamizaji wa demokrasia, je Mugabe anastahili kumbiwa pumzika kwa amani au uchomwe motoni? View attachment 1199825
mzee vip mbona matusi na hasira nyingi? huu ni mjadala tu, usipiganeUkiwa mjinga ulielishwa na mzungu kinyesi kibichi cha mtu mzima na kikakukolea, unaweza sema Mugabe rot in hell...
MiMI NASEMA, SIMBA WA AFRICA REST IN PEACE...
Usinielewe vibaya, sijamtusi mtu.mzee vip mbona matusi na hasira nyingi? huu ni mjadala tu, usipigane
Dictator wanaua watu mkuu ,ufalme wa mungu hatakaaa auone, hiyo ni jehanamu moja boss,mzee vip mbona matusi na hasira nyingi? huu ni mjadala tu, usipigane
BURN IN HELLKulingana na historia yake ya utawala na ukandamizaji wa demokrasia, je Mugabe anastahili kumbiwa pumzika kwa amani au uchomwe motoni? View attachment 1199825
Nani amwambie? habari za moto ni mambo ya kutungwa tuKulingana na historia yake ya utawala na ukandamizaji wa demokrasia, je Mugabe anastahili kumbiwa pumzika kwa amani au uchomwe motoni? View attachment 1199825