US kufukuzwa UN ili amani ya dunia ipatikane

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,276
21,448
Kuna mpango kabambe wa UN kutumia/invoke article 6 ya UN charter kutimua US kusitisha kua mwana chama UN tena na veto power yake itakua no more.

US imekua kizingiti kikubwa kwenye Amani ya dunia kufanya UN kuonekana kama toothless dog or mbwa isio kua na meno, hususani katika jukumu lake la kulinda world peace and traquility,

US imetumia Veto power yake mara tano kuzuia usitishaji wa mauaji kule Gaza yanao fanywa na Isreal hili limefanya UN kuonekana kama bogus international organisation.

Je US akitimuliwa UN tutegemee Amani ya dunia itapatikana? Au ndo tutapoteza Amani zaidi.

Nb
Kama hujaelewa mada au una ongozwa na mihemuko ya kidini tafadhari usicomment pita zako tu.
Screenshot_20240202-124013_WhatsApp.jpg
Screenshot_20240202-124030_WhatsApp.jpg
 
Kuna mpango kabambe wa UN kutumia/invoke article 6 ya UN charter kutimua US kusitisha kua mwana chama UN tena na veto power yake itakua no more.

US imekua kizingiti kikubwa kwenye Amani ya dunia kufanya UN kuonekana kama toothless dog or mbwa isio kua na meno, hususani katika jukumu lake la kulinda world peace and traquility,

US imetumia Veto power yake mara tano kuzuia usitishaji wa mauaji kule Gaza yanao fanywa na Isreal hili limefanya UN kuonekana kama bogus international organisation.

Je US akitimuliwa UN tutegemee Amani ya dunia itapatikana? Au ndo tutapoteza Amani zaidi.

Nb
Kama hujaelewa mada au una ongozwa na mihemuko ya kidini tafadhari usicomment pita zako tu.View attachment 2891694View attachment 2891695
Wapingaji wanajipanga kumfukuza mwenye nyumba sio 🐒
 
Wafukuze na Russia,,,na wengine wote wenye VETO
Russia sio tishio la Amani ya dunia anafanywa Kua tishio na US anae taka ku diminant the world kwa kujita the police man o the world asie kua na mikaka, alitaka kuleta majeshi yake pale Ukurain jambo ambalo nitushio kwa Amani ya uwepo wa Russia ndo maana russian iko votani for self defence sio aggression kama US.
 
US ndiye huchangia karibu 75% ya UN Budget,so ni ndoto za mchana kumukuza. Mwarabu hawezi kuziba hilo pengo
Hapana sio kweli kwamba US anatoa 75% yabajeti ya UN, US inatumia UN kama soko na sehemu ya kukopesha nchi zingine ili awatawale China iko tayari kufund UN kwa 100% kama UN iko tayari kutumia bidhaa na technology ya China, ila US haitaki hilo
 
Kuna mpango kabambe wa UN kutumia/invoke article 6 ya UN charter kutimua US kusitisha kua mwana chama UN tena na veto power yake itakua no more.

US imekua kizingiti kikubwa kwenye Amani ya dunia kufanya UN kuonekana kama toothless dog or mbwa isio kua na meno, hususani katika jukumu lake la kulinda world peace and traquility,

US imetumia Veto power yake mara tano kuzuia usitishaji wa mauaji kule Gaza yanao fanywa na Isreal hili limefanya UN kuonekana kama bogus international organisation.

Je US akitimuliwa UN tutegemee Amani ya dunia itapatikana? Au ndo tutapoteza Amani zaidi.

Nb
Kama hujaelewa mada au una ongozwa na mihemuko ya kidini tafadhari usicomment pita zako tu.View attachment 2891694View attachment 2891695
Angalau alikuwa na chombo cha kumkemea, akitoka anatwanga bila kumsikiliza yeyote
 
Kuna mpango kabambe wa UN kutumia/invoke article 6 ya UN charter kutimua US kusitisha kua mwana chama UN tena na veto power yake itakua no more.

US imekua kizingiti kikubwa kwenye Amani ya dunia kufanya UN kuonekana kama toothless dog or mbwa isio kua na meno, hususani katika jukumu lake la kulinda world peace and traquility,

US imetumia Veto power yake mara tano kuzuia usitishaji wa mauaji kule Gaza yanao fanywa na Isreal hili limefanya UN kuonekana kama bogus international organisation.

Je US akitimuliwa UN tutegemee Amani ya dunia itapatikana? Au ndo tutapoteza Amani zaidi.

Nb
Kama hujaelewa mada au una ongozwa na mihemuko ya kidini tafadhari usicomment pita zako tu.View attachment 2891694View attachment 2891695
Mchango wa US kwa UN no mkubwa kuliko nchi zote wanachama ukiziunga pamoko.

Makao makuu ya UN yahamie Arusha ndo tutaweza kuwa na amani duniani
 
Kuna mpango kabambe wa UN kutumia/invoke article 6 ya UN charter kutimua US kusitisha kua mwana chama UN tena na veto power yake itakua no more.

US imekua kizingiti kikubwa kwenye Amani ya dunia kufanya UN kuonekana kama toothless dog or mbwa isio kua na meno, hususani katika jukumu lake la kulinda world peace and traquility,

US imetumia Veto power yake mara tano kuzuia usitishaji wa mauaji kule Gaza yanao fanywa na Isreal hili limefanya UN kuonekana kama bogus international organisation.

Je US akitimuliwa UN tutegemee Amani ya dunia itapatikana? Au ndo tutapoteza Amani zaidi.

Nb
Kama hujaelewa mada au una ongozwa na mihemuko ya kidini tafadhari usicomment pita zako tu.View attachment 2891694View attachment 2891695
Wamfukuze TU dunia iwe na amani,kipindi kirefu ameonekana kutengeneza matatizo ambayo yeye hayamgusi.kwa Sasa wanaume wanaonekana nao kumtengenezea matatizo yanayomgusa Moja Kwa Moja.
Mgogoro WA Gaza umemgusa pakubwa,Waouth mchana peupe wamemwambia hupiti redsea,Mwingine ameibuka na jakamoyo la kuidai Alaska,Texas napo panafuka Moshi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom