Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Amkeni mapema week ijayo mkapige kura ili Lissu ashinde sio kutegemea hivi vibarua, upinzani usilazimishe ushindi bila ya kupiga kura hizo ni dalili za kushindwa.
 
Amkeni mapema week ijayo mkapige kura ili lissu ashinde sio kutegemea hivi vibarua, upinzani usilazimishe ushindi bila ya kupiga kura hizo ni dalili za kushindwa.

Ndiyo zao. Wakishindwa wanadai wameibiwa kura. Wengi kura zao wanapigia humu; sijui nani kawaambia JF ni sanduku la kura!
 

Nilisema muanze kutafuta visingizio mapema kabisa. Naona sasa somo limeshaekeweka!
 
Who is Amsterdam in this sovereign country?

October 28th kura zote za ndio JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwa nini unadhani kuwa ili maendeleo yawepo lazima CCM au Magufuli wachaguliwe?

Maana CCM imekuwepo kwa miaka mingi na maendeleo ni kidogo sana.
 
Kama kuokoa roho 100 zilizokengeuka maana yake ni kukubali kupoteza roho million moja zisizo na hatia, the choice for any sovereign state is very obvious!
What is the state? How can you justify an act of killing/lose to maintain the "soverignity"?
 
Akigoma kutoka kwa kura tutamtoa kwa nguvu, yeye anahisi nchi nzima machizi yeye tu ndiyo mwenye akili anatuchagulia direction. Mwaka huu basi
Ndiyo maana unajiita Artificial intelligence! Wamarekani walipigwa na Osama kwa sababu ya kutegemea artificial intelligence sasa wameona bado umuhimu wa human intelligence upo. Sasa wewe bado unawaza kizamani sana. Eti utamtoa kwa nguvu!! You are kidding, we are so smart than you bro. Just wait and see after 28/10/2020 how human intelligence works!!
 
Kama kuokoa roho 100 zilizokengeuka maana yake ni kukubali kupoteza roho million moja zisizo na hatia, the choice for any sovereign state is very obvious!
Watanzania tunataka kama kula matunda ya uhuru basi sote tufaidi sio watu wachache tu hii sio nchi ya kifalme kila sehemu eti mtoto wa dadake magu
Huku eti mumemwenza
Kama noma na iwe noma kama Libya hakuna cha doto. Kheri. Wala polepole wa Mavi 8 wote kimbembe
Mimi naona mabeberu walete silaha kama kule Libya halafu raslimali na madini yote wachukua sisi watuletee babunduki tutafutane humu humu Tumechoka baadhi kuonekana tabaka la chini
 
Nyinyi wabeba mabox mnashida sana! Sanctions zije tu lakini ushoga hatutaki katika nchi yetu.

 
Kwa nini unadhani kuwa ili maendeleo yawepo lazima CCM au Magufuli wachaguliwe?

Maana CCM imekuwepo kwa miaka mingi na maendeleo ni kidogo sana.
Kwanza umenishangaza kuwa mpaka leo haujui kwanini Magufuli achaguliwe. Kwa faida yako jibu kuu ni Uzalendo na breakdown yake ni hii hapa:-
1. Udhibiti wa natural resources zetu

Katika hili jambo amekuwa mkweli kabisa unaweza kuona namna Tanzanite yetu ilivyokuwa haijadhibitiwa kiasi cha watu kujua huenda inapatikana nchi Jirani hapo na Arusha, amejenga ukuta wa Mererani na tuna idhibiti.

Pia ni namna ambavyo amebanana na Acacia mpaka kimeeleweka ni lazima madini yanufaishe nchi sio tunaachiwa Mashimo tuu.

2. Vita dhidi ya madawa ya kulevya

Wakati akiingia madarakani ilikuwa ni aibu kuangalia taarifa ya habari maana Watanzania walikuwa ni kukamatwa na madawa ya kulevya kila kona lakini sasa watu wamedhibitiwa.

3. Mikopo ya elimu ya juu.
4.Miundombinu angalia flyovers zilivyotatua foleni katika jiji la Dar

5. Mapambano dhidi ya Covid 19, huko USA katika Presidential debates kitu kinachomtesa Trump ni namna Covid 19 ilivyowapiga wa Marekani lakini unaweza kuona hapa Rais alikataa kuweka watu kwenye lockdown kazi ziliendelea kufanyika na serikali iliongoza mapambano ya huu ugonjwa vizuri na sasa ni kama haupo tunaendelea na tahadhari.

6. Elimu bure
7. Nidhamu kwa watumishi wa umma.
8. Vita dhidi ya rushwa maneno ya ajabu yaliyohalalisha rushwa kama mchongo au madili yameyeyuka watu wanakula kwa jasho Leo.

Yapo mengi sana ila kwa haya October 28th tukampe kura za ndio nyingi JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mbona umesahau watekaji na wasio julikana

Hivi Ben Sanane yuko, Azori Gwanda na walio mpiga risasi Tundu Lissu
 
Umenena mkuu na kura yangu ni kwa Magufuli tu!
 
Mbona umesahau watekaji na wasio julikana

Ivi ben sanane yuko azor gwanda na walio mpiga risasi tundu lissu
Usinilazimishe kusema vitu ambavyo hata wewe hauijui na hauna uhakika navyo...kama una ushahidi navyo nenda mahakamani.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Msiokua na akili hawa mawakili wapuuzi tu wanatafuta kazi sijui Robert nani mpuuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…