Robert Alai: Tanzania Shida siyo Samia, shida ni system (mfumo), ili kufanikiwa lazima ing'olewe

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
 
View attachment 3519012
Ogopa mfumo ulioua vijana kwa risasi za moto wasio na silaha!
Wwakawazika kibabe!
Wanaendelea kuteka!
Hakuna mbunge aliyetoa hata pole!

Kama waliouwawa hawakuwa wa Tz vile, hawa ni watu wabaya sanaaa,kuliko hitler!
 
Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
View attachment 3519012
System utaing’oaje wakati kuna fazafaka hataki ing’olewe kwasababu inamnufaisha yeye na familia yake?
 
Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
View attachment 3519012

..Samia ndio mkubwa wa System.

..mkubwa wa System akiwa na matatizo System nayo inakuwa na matatizo.
 
Shida ni ccm syo samia.aliyeua watu na kuteka ni ccm cyo samia.km ni samia ccm wangekemea samia angeacha kwa sababu wanauwezo wakumtoa kwnye chama.
 
Samia kawekwa tuu.
Na kama system haimtaki haichukuwa i hata dakika atangoka.
Unayo habari kama alitaka kujiuzulu wakati wa Magufuli? System ikamzuwia.
Sasa sio yeye ni Inner circle.
Unadahini Museveni hataki kutoka Anataka lakini Inner circle ndio inayo muweka.
Sawa na kagame
Sawa na wengine.
Innercircle ni matajiri na mafisadi na wanao hodhi mali ya taifa.
 
Ccm gani mwenye uwezo wa kumkemea Samia? Dodoma tu pale alikiuka katiba wote wakafyata, aliyejaribu kuhoji katekwa na hajulikani alipo
 
Samia kawekwa tuu.
Na kama system haimtaki haichukuwa i hata dakika atangoka.
Unayo habari kama alitaka kujiuzulu wakati wa Magufuli? System ikamzuwia.
Sasa sio yeye ni Inner circle.
Unadahini Museveni hataki kutoka Anataka lakini Inner circle ndio inayo muweka.
Sawa na kagame
Sawa na wengine.
Innercircle ni matajiri na mafisadi na wanao hodhi mali ya taifa.
Hakuna mtu anayelazimishwa kama hataki. Uongozi una maslahi ndio maana wapo tayari kuua watu muda wowote.

Huko walivyo na tamaa ya madaraka mtu atake kuachia madaraka alafu alazimishwe?
 
Samia kawekwa tuu.
Na kama system haimtaki haichukuwa i hata dakika atangoka.
Unayo habari kama alitaka kujiuzulu wakati wa Magufuli? System ikamzuwia.
Sasa sio yeye ni Inner circle.
Unadahini Museveni hataki kutoka Anataka lakini Inner circle ndio inayo muweka.
Sawa na kagame
Sawa na wengine.
Innercircle ni matajiri na mafisadi na wanao hodhi mali ya taifa.
Huo mfumo ni wakina nani hasa?
 
..Samia ndio mkubwa wa System.

..mkubwa wa System akiwa na matatizo System nayo inakuwa na matatizo.
Kuna idadi kubwa ya watanzania/watanganyika wanaoona na kuamini kuwa Samia ndio tatizo kubwa sana lililopo nchini hivi sasa. Kwamba akiondolewa toka madarakani na kuwajibishwa ipasavyo, basi tatizo litakuwa limeisha, nchi yetu itarejea kuwa njema (kwenye right track) kama ilivyokuwa kabla ya uRais wake.

Do you believe that?
 
Back
Top Bottom