Kima mdogo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 303
- 46
Inasadikika amenunua mtambo Israel unaoweza kuingiliana na simu ya mtu yoyote kwa mita 5, na ndo aliyehusika kumtumia Nchemba mesej za vitisho vya mauaji kupitia simu za wabunge wa chadema,
Marando na wenzie Walikuwa wamelewa wale siku nzima wameshinda baa kurasini wanakunyw siku nzima ni mambo ya ulevini wanayaleta huku
Inasadikika amenunua mtambo Israel unaoweza kuingiliana na simu ya mtu yoyote kwa mita 5, na ndo aliyehusika kumtumia Nchemba mesej za vitisho vya mauaji kupitia simu za wabunge wa chadema,
Inasadikika amenunua mtambo Israel unaoweza kuingiliana na simu ya mtu yoyote kwa mita 5, na ndo aliyehusika kumtumia Nchemba mesej za vitisho vya mauaji kupitia simu za wabunge wa chadema,
Loh...nimeamini TBL ni noumer sana.yaani washikaji wamekata kilaji weee hadi zikawatuma waite press conference.Marando na wenzie Walikuwa wamelewa wale siku nzima wameshinda baa kurasini wanakunyw siku nzima ni mambo ya ulevini wanayaleta huku
Loh...nimeamini TBL ni noumer sana.yaani washikaji wamekata kilaji weee hadi zikawatuma waite press conference.
Mtambo wa kutuma fake SMS ....huh?...cooomon marando punguza ulabu mzee.THERE IS NO SUCH A THING.
Bora angesema application,software but mtambo?..no man.
Kwa kujua anasema uongo ndo maana akakataa kutaja jina kwa kuogopa Lawsuit.
Am not buying this mtambo story.
its possible to send sms with any number via gang sms application all u need is USD 3 do your googleProve it!
you are a NUTJOB, unataka kusema nini hapa?Wewe lazima ni ***** kweli kweli kwani APPLICATION SOFTWARE sio mtambo? Unajua kikwere tu lakini kiswahili hujui!!