Rizmoko ahusika na sms za wabunge wa chadema

Shangazi yako Bagamoyo anapika gongo, mitambo yake amesimika wapi?
i never see why others tend to think they need to be rude or irrational to backup their stance.

Like this I.D.I.O.T . Who hide his idiocy behind insults.
Why dont you just shut the fuackup if you have no brain?
 
Anahusika kwa 99.9% katumwa na baba ndo mwisho wao wa kufikiria hapo wanazidi kupoteza mwelekeo
 
A ha ha ha ha ha ha ha ...these punks are going to make my day.
Whoever said i know anything you guy
 
Don't blame the person. May be this is what he/she got from google! this is what is making us poor thinkers. You told him to google, he instead decided to deviate the point. So sad
na mahakamani huyo marando atapeleka google ikamtolee ushahidi au siyo?
 
vyombo vya uchunguzi pamoja na makampuni ya simu watrupe ukweli kuhusu hili
Umesahau kipindi kile dokta SLAA anachafuliwa kwa meseji zenye kashfa, kuna mtu aliulizwa?, usije ukategemea kuna mamlaka za mawasiliano zitasaidia ktk issue inayofeva the ruling.
 
security2020_2215_3456470
 
Hilo nalo neno, kwa sababu mimi hainiingii akilini kwa mtu mwenye akili timamu, tena mbunge utume meseji unatishia mauaji kweli? umesahau kuwa ni kosa la jinai?, inawezekana kuwa kuna ujanja kama huo wa kupaka matope wapinzani. hebu na wewe fikiria, kama wenzio wanatumia mbinu za `kiintelijesia` halafu wewe unatuma msg mchana kweupe inabidi tukupime akili kama mzee wa matusi alivyosema.
 
Inadaiwa ni Miraji ndo mwenye mautundu hayo wakuu

Nakumbuka katika uchaguzi wa 2010 huyu kijana Miraji alishutumiwa kuhusika katika juhudi za kuchakachua kura kwa kutumia kompyuta. Vilevile kuna mkuu wa shirika la mawasiliano naye alihusishwa na kashfa ya kutuma sms nyingi za propaganda chafu. Hizi habari ambazo Marando ameziweka wazi si za kupuuziwa ukichukulia kwamba ccm imashutumiwa na kujulikana kutumia mbinu chafu ili iendelee kutawala katika himaya yake ya kuwafanyia maovu Watanzania.
 
nitakuja baadae kuona kama kunaushahidi unaoonesha kuwa siku ya tukio Riz alikuwa karibu(5m) kutoka wabunge tajwa wa cdm. Itasaidi kuanza para ya hitimisho.

hivi kuna mahali mtoa mada kasema kuwa riz ndiye aliyetuma hizo sms?
 
Loh...nimeamini TBL ni noumer sana.yaani washikaji wamekata kilaji weee hadi zikawatuma waite press conference.

Mtambo wa kutuma fake SMS ....huh?...cooomon marando punguza ulabu mzee.THERE IS NO SUCH A THING.
Bora angesema application,software but mtambo?..no man.
Kwa kujua anasema uongo ndo maana akakataa kutaja jina kwa kuogopa Lawsuit.
Am not buying this mtambo story.[/QU kaka mtambo si lazima uwe na injini hata hiyo software inatosha kuwa mtambo. Hujui kuwa kuna kitu kinaitwa WORD PROCESSING, hiyo si ni kazi ya software au mtambo? Kama mtambo unaprocess kumbe hata software inaprocess so.....
 
Duh...?inabidi nitafute kamusi pengine kweli maana ya mtambo imenipita kushoto.
Hivi wapi wanauza hio mitambo ya wordprocessing? NAUHIJI SANA HUO MTAMBO.
 
Marando na wenzie Walikuwa wamelewa wale siku nzima wameshinda baa kurasini wanakunyw siku nzima ni mambo ya ulevini wanayaleta huku


wewe acha wendawazimu,yani nyie mkiona wazazi wenu na nyie mpo kwenye uongozi mnadhani watu wote wajinga ee?siku zenu na vizazi vyenu zinahesabika.tunataka nchi yetu.
 
Hizi ni mbinu tu,haiwezekani mbunge ambae anajua kuwa chama chake hakina dola halafu ajiamini kumtumia msg za vitisho mtu mwenye chama kinachoshika dola.SIO KWELI,
 
Dont lie to us,unless u spend our tax thru ua parents positions.
 
Back
Top Bottom