vyombo vya uchunguzi pamoja na makampuni ya simu watrupe ukweli kuhusu hili
you! Iko taka chunguza toto ya rais wewe...?....hakuna chunguza toto ya rais wkt baba yake bado iko madarakani....shhhhhhhhhhhhhhhh
vyombo vya uchunguzi pamoja na makampuni ya simu watrupe ukweli kuhusu hili
Inasadikika amenunua mtambo Israel unaoweza kuingiliana na simu ya mtu yoyote kwa mita 5, na ndo aliyehusika kumtumia Nchemba mesej za vitisho vya mauaji kupitia simu za wabunge wa chadema,
yes can be proved all needed is a original sms that was sent, with a sms hacker software can be verified only if was not sent via cell phone providerJust because kuna application za kufake sms doesnt mean that mnyika hakutuma hizo sms kwa nchemba.
Tunahitaji prove that the sms wasnt sent by MR WASHAWASHWA phone's to mr mwigulu.,and that sms was fake
sure...it is also possible to drink a lot of konyagi and then call a press confrence and starts throwing allegetion left and right without proving them.its possible to send sms with any number via gang sms application all u need is USD 3 do your google
Inadaiwa ni Miraji ndo mwenye mautundu hayo wakuu
not sure about that dude, i thought u were looking for someone to prove u about fake sms, m a software engineer not a politician, have a good day:israel:sure...it is also possible to drink a lot of konyagi and then call a press confrence and starts throwing allegetion left and right without proving them.
wewe ndio umewapa pombe hizo ahaaaa kumbe wewe ndio mhudumu pale kurasini kwenye ile baamarando na wenzie walikuwa wamelewa wale siku nzima wameshinda baa kurasini wanakunyw siku nzima ni mambo ya ulevini wanayaleta huku
hilo likima silinakurupuka linaanzisha threa d ambayo toka jana ipo yeye kasikia asubuhi hii basi hajachunguza kaanzisha yakwake foolish agesiyo 5mt bali 5km
not sure about that dude, i thought u were looking for someone to prove u about fake sms, m a software engineer not a politician, have a good day:israel:
hahahahahahaha ndio maana nchi yetu haiendelei mwingine leo kasimama bungeni anasema akili ni nywele kila mtu ana zake halafu kavaa wigi sijui tumweleweje.Don't blame the person. May be this is what he/she got from google! this is what is making us poor thinkers. You told him to google, he instead decided to deviate the point. So sad
Wewe lazima ni ***** kweli kweli kwani APPLICATION SOFTWARE sio mtambo? Unajua kikwere tu lakini kiswahili hujui!!
Malizia kabisa MIRAJ KIKWETE.Inadaiwa ni Miraji ndo mwenye mautundu hayo wakuu