Riwaya ya Kijasusi: "Msako wa Mwehu"

Riwaya ya Kijasusi: "Msako wa Mwehu"

Hakika mods hawana weledi na kazi zao, hawapitii maandiko(content ya uzi).
Nafikiria kujitoa jamii forum kwa haya yanayoendelea katika uzi izi mbili. Hakuna uhuru wa uandishi.
 
Riwaya zenyewe mbona kama zimeacha kutupiwa?
 
Wakuu mpasta na mtzmweusi mnaonaje mkaendeleza kwenye nyuzi nyingine mkazipachika tu majina tofauti mfano 'Maso mwehu' na 'Ofisi fukunyuzi' mtu-tag tuendeleze kulisongesha wakuu?

Maana hapa naona mod wameamua tufanyia figisu wakuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom