Riwaya: Ufukwe wa Madagascar

Nimekukubali mkuu
 
Ndio maana me namkubali sana ibrahim masimba.
 
Kumbe hapa moshi mweupe hata haijaonekana tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hili ni tatizo sugu la Jf, hadithi haziishi
 
Duuuh hataree sana
 
Habari Mkuu Mwamba C, tutegemee chochote au ndiyo imeishia hapa kwamba itapatikana kwenye kitabu unachoandaa tu? Tupatie ufafanuzi Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…