Mbona nae anatofauti na hao wengineMambo ya kina LEGE yashaamia MMU ndio maana nitendelea kumfagiiia The Bold mpaka JF ife.
Hana kujisikia wala kulinga wala kuleta vijisababu.
Dah jamaa kasusa kabisa!!!
Kumbe naww mdau eh
Yani napenda sana hadithiKumbe naww mdau eh
Basi sawa karibu ingawa jamaa katuacha njia panda kibitiYani napenda sana hadithi

Mtunzi hajapost Kule Kwenye wall yake Fb ndio maanaBasi sawa karibu ingawa jamaa katuacha njia panda kibiti![]()
![]()
![]()
Hahaha, wwabongo ndivyo waalivoHuyu Mwamba kaleta usanii wa hali ya juu, hii hadithi ipo kwenye page ya mwandishi Kelvin Mponda facebook na ameishia sehemu ya 70....Mimi niliisoma kule na nikawa nasubiri hapa ianze sehemu ya 71 nikijua mleta uzi ana mzigo wote...Nilipoona kapost anaenda nje ya nchi nikajua tayari swaga za Mswahili na janja ya nyani.
Kwa hiyo wadau turudi tu tukamsubiri Lege ambaye ni Mkweli kuliko huyu Mwamba anatuletea Ukanjanja wa Mjini.
Teh!Huyu Mwamba kaleta usanii wa hali ya juu, hii hadithi ipo kwenye page ya mwandishi Kelvin Mponda facebook na ameishia sehemu ya 70....Mimi niliisoma kule na nikawa nasubiri hapa ianze sehemu ya 71 nikijua mleta uzi ana mzigo wote...Nilipoona kapost anaenda nje ya nchi nikajua tayari swaga za Mswahili na janja ya nyani.
Kwa hiyo wadau turudi tu tukamsubiri Lege ambaye ni Mkweli kuliko huyu Mwamba anatuletea Ukanjanja wa Mjini.
Maamuzi mazuri mkuuTeh!
Sijui akileta utasemaje!
By the way, me nasubiri kote kote