Riwaya: Ufukwe wa Madagascar

Huyu Mwamba kaleta usanii wa hali ya juu, hii hadithi ipo kwenye page ya mwandishi Kelvin Mponda facebook na ameishia sehemu ya 70....Mimi niliisoma kule na nikawa nasubiri hapa ianze sehemu ya 71 nikijua mleta uzi ana mzigo wote...Nilipoona kapost anaenda nje ya nchi nikajua tayari swaga za Mswahili na janja ya nyani.
Kwa hiyo wadau turudi tu tukamsubiri Lege ambaye ni Mkweli kuliko huyu Mwamba anatuletea Ukanjanja wa Mjini.
majina gani anatumia fb??
 
2d625c564f62361b611e3167a69cc79c.jpg
 
Ilivyoshuka kwa kasi nilijua imeisha pia nikajionya kuwa mvumilivu nikikuta haijaisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom