Bigjahman
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 842
- 421
Hahaha mi nilikuwa natafuta mikoba ya babu nimgeuze awe kuku kishingooNmemlima block
Hahaha mi nilikuwa natafuta mikoba ya babu nimgeuze awe kuku kishingooNmemlima block
Acha wizi we kobeWe pundamilia Patrick yupo humu na unajua hii riwaya nimeokota Wapi?
Nmemlima block
Kachambe umeona inauzwa hapa?Umemlima nan @mods mbona huyu mtu mnamuacha hajapata ruhusa ya kuiuza hapa
Mkuu huu muda wa kubishana na huyu jamaa ungetumia kutupiaKachambe umeona inauzwa hapa?
HaswaaaMkuu huu muda wa kubishana na huyu jamaa ungetumia kutupia
Utawekaje bila idhini yakeKachambe umeona inauzwa hapa?
Utawekaje bila idhini yake
Aise hii simulizi ili nipita vipi? ?... naona taswira ya Jiwe katika hii simulizi
Kikulacho kinguoni mwako
Mkuu acha tabia za ajabu utatumaje Riwaya hii bila ruhusa ya mwandishi huuuu ni upuzi unamkosesha mwenzio mapato acha
Watu naona hawajaipenda hii
Mbona una Tabia za kike aise. .au wewe ni mke wa Patrick?
Balaa tupuDaah mamaeee Patric ck ...Mtu gani unatunga simulizi kama vile mzimu duhh
Mkuu dondosha nyingine aise. ..... Imeisha patamu sana babBalaa tupu