RIWAYA: Sauti ya Mtutu (mtazika kila ikisikika)

RIWAYA: Sauti ya Mtutu (mtazika kila ikisikika)

Haya bana tufanye tu kama hakukutokea kitu hivi maana naona bado unakinyongo na mimi
Sina kinyongo mie ningekuwa na kinyongo ningekujibu na me na gazeti langu kama vile ulivyofanya ila uliona nilivyo mstaarabu nilikaa kimya kama sio mm uliyeniandikia
 
Sina kinyongo mie ningekuwa na kinyongo ningekujibu na me na gazeti langu kama vile ulivyofanya ila uliona nilivyo mstaarabu nilikaa kimya kama sio mm uliyeniandikia
Haya bana kwa kuwa na ustarabu huo mana ungejibu kwa muda pingine labda sasa hivi ningekuwanimeshakula Ban tho ulifanya poa pia kukaa kimya
 
Yaani nimekuja speed najua mambo tayari. Ngoja tusubiri hilo giza mkuu kudo900
 
Nadhani una Riwaya 2 ambazo hazijaisha mkuu, naona umeongeza hii Labda kama ni sehemu ya promotion ili Kuongeza members ktk group Lako la WhatsApp Uko sawa,, Ila kama ni Burudani hapa Jukwaani napata shida maana malalamiko ni mengi sana na ukiona hivyo maana yake haziji kwa wakati hadi MTU anasahau amefikia sehemu gani tofauti na kuweka sehemu 1 kila siku.
 
H

Hapana bana stress ziliingiliana kuna mtu muda ule alinizingua afu naingia huku nakutana na shunie nae anasema tunamkeraga

So ikawa double stress
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haya bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom